JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

JOB VACANCIES AT CHADEMA – Western Lake Province

Mzee kuna kitu kinaitwa qualities and trust - equal opportunity.....himanishi kwenda na kubeba yeyote bila vigezo, yes ni equal opportunity kwa maana ya kushindanisha vigezo.

Kwa nafasi ya strategical planning ndani ya chama cha siasa ni wazi lazima awe mtu kwanza kabisa mwenye spirit ya maendeleo ya chama, ajue falsafa nzima, malengo na mikakati iliyopo na utekelezaji wake, akifahamu kwa undani chama kuanzia kwenye historia yake na pia awe na maono fulani juu ya ukuaji wake na kupata ushindi n.k. Kwa hiyo hii ni nafasi nyeti sio kama kuajiiri mpishi au fundi wa kutengeneza magari n.k.

........
Tangazo linasema "CHADEMA is an equal opportunity organization"
Lakini bado wanataka mwombaji "At least acquainted to the party for past three year (Involvement in CHADEMA M4C activities is an added advantage)"

Sasa hapo hakuna tena equal opportunity.
 
How much time doest it take for a post mail to reach your office from Songea?
Acha kusumbua watu kama una apply...apply, unajua ni lini tangazo hili limetoka au unafikiri limeandikwa kwa ajili ya JF members tu?
 
Thanks makamanda!! Well drafted job application. Vetting kali sana mfanye msije mkaajiri mamluki.
 
Kama CHADEMA Watakuwa ki proffessional kiasi hiki basi chama hiki kitafika mbali.
 
Kama kutakuwa na Mkwanja wa kutosha, nasubiria u-Coordinator Kusini!! Narudia, kama kutakuwa na mkwanja wa kutosha coz' mimi sio CHADEMA so hakuna cha kujitolea. Kitu ammbacho nina uhakika nacho ni kwamba, i'll do the job effectively hata kama mimi si CDM!
Nyie ndio mnaolalamika kuwa mmeachwa hata kwenye short list, soma vizuri tangazo "At least acquainted to the party for past three year (Involvement in CHADEMA M4C activities is an added advantage)" , labda jaribu hiyo ya udereva haina kipengele hicho.
 
how much time doest it take for a post mail to reach your office from songea?

kweli wabongo hawaishiwi lawama wewe umepewa fursa badala ya kuitumia unaanza kuhoji muda? Kwa wale wote wanadai muda hawafai kuomba hizi kazi maana ni jamii wa kashilila ( tusionyeshe bunge live) hawatakaki kufukiri na kutumia tekenolojia ya kisasa.
 
Watanzania watu wa ajabu kweli badala ya kuapply anabaki kulalama mwisho muda wa kuomba unapita.
 
Leo tarehe 5 March unatoa tangazo la kazi halafu unasema application iwe imefika by tarehe 10 March na unasema mtu alete hard copies which means either aje mwenyewe au atumie posta. Taking into account kwamba tarehe 9 na 10 ni weekend ina maana mtu anayetaka kuomba hii kazi ana siku 3 tu kuwa kashakamilisha application process!!! Hapo hakuna equal opportunity ni usanii tu. Wanaotakiwa kupewa kazi washajulikana, hili tangazo ni kuondoa lawama tu...

tizama ya lumumba. Ya cdm achana nayo.
 
Mzee kuna kitu kinaitwa qualities and trust - equal opportunity.....himanishi kwenda na kubeba yeyote bila vigezo, yes ni equal opportunity kwa maana ya kushindanisha vigezo.

Kwa nafasi ya strategical planning ndani ya chama cha siasa ni wazi lazima awe mtu kwanza kabisa mwenye spirit ya maendeleo ya chama, ajue falsafa nzima, malengo na mikakati iliyopo na utekelezaji wake, akifahamu kwa undani chama kuanzia kwenye historia yake na pia awe na maono fulani juu ya ukuaji wake na kupata ushindi n.k. Kwa hiyo hii ni nafasi nyeti sio kama kuajiiri mpishi au fundi wa kutengeneza magari n.k.

Mkuu naomba nitofautiane na wewe kidogo hapo kwenye red hasa issue ya MPISHI. Kuna baadhi ya mambo yanaonekana kama hayana umuhimu lakini ndio muhimu zaidi; kuna taaluma zinaonekana kama hazina maana lakini zina umuhimu mkubwa. Imagine MPISHI wa Dr. Slaa au Mwenyekiti Mbowe vetting yao inatakiwa iweje.

Kwangu, vetting ya mpishi, dereva, au fundi inatakiwa kuwa kali kuliko hata ya nafasi zilizotangazwa. Naamini Idara ya Usalama ya Chama chini ya Kamanda Rwakatare wako makini sana na hii kitu; wasije kuhadaiwa na arguments kama hizi ikawa hatari.
 
Leo tarehe 5 March unatoa tangazo la kazi halafu unasema application iwe imefika by tarehe 10 March na unasema mtu alete hard copies which means either aje mwenyewe au atumie posta. Taking into account kwamba tarehe 9 na 10 ni weekend ina maana mtu anayetaka kuomba hii kazi ana siku 3 tu kuwa kashakamilisha application process!!! Hapo hakuna equal opportunity ni usanii tu. Wanaotakiwa kupewa kazi washajulikana, hili tangazo ni kuondoa lawama tu...
Umeambiwa muombaji awe anaishi katika Western lake province so barua kwa muombaji aliye mwanza, geita na Bukoba zitafika ndani siku 3.Tafadhali wahimize wote wenye sifa wa apply hasa wenye mapenzi mema na chadema na wenye kujitoa kuleta mabadiliko katika taifa
 
Daah hapo Nasdaz umeula wa chuya wala usijihangaishe kutuma maombi hatutaki mamluki hapa huna sifa wewe kaa na mavyeti yako bana, mbona unataka kuleta utani kwenye kazi!mkwanja utakwenda kwa wenye sifa tuu uwe mpole nenda kwa magamba wenzio
 
Nyie ndio mnaolalamika kuwa mmeachwa hata kwenye short list, soma vizuri tangazo "At least acquainted to the party for past three year (Involvement in CHADEMA M4C activities is an added advantage)" , labda jaribu hiyo ya udereva haina kipengele hicho.
hata hiyo asijaribu hata pata, sio mwanachama.
halafu tunao wanachama wengi sana ambao ni madereva, hatutaki mamluki.
 
The application should reach the office of the undersignedvia both email (scanned documents) and hard copies latest by 10[SUP]th[/SUP] March, 2013.

tangazo liko wazi
ZeMarcopolo
labda nkusaidie kutafsiri
pale unapopost barua yako posta inahesabika umeituma siku hiyo na hata kama ikichelewa kuwafikia tarehe ya mwisho but so long wakishapata hiyo barua na ikaonyesha ulituma kwa njia ya posta kabla ya tarehe ya mwisho, wako bound kuishughulikia barua yako
ndivo taratibu zilivo kisheria.
email yako itakuwa ya kwanza kupokelewa wata assume barau iko njiani. barua yako haiwezi kuwa rejected kama ulipost before deadline na ikawafikia after deadline.
kwa waliosoma sheria wanaelewa nini maana ya posta rules wakati wakisoma offer and acceptance.
 
nimeipenda sana hiyo weldone chairperson wa kanda ya ziwa magharibi,

applicants should note that," chadema tunapeana au kugawana majukumu na sio madaraka"
 
Nyie ndio mnaolalamika kuwa mmeachwa hata kwenye short list, soma vizuri tangazo "At least acquainted to the party for past three year (Involvement in CHADEMA M4C activities is an added advantage)" , labda jaribu hiyo ya udereva haina kipengele hicho.
Nawe ndio wale mnaozani mnaelewa sana wakati hamuelewi!!! Kwani kuwa acquainted to the part ni kuwa mwanachama?! Kwani mtu huwezi kushiriki shughuli za chama bila kuwa mwanachama?! Kwani mtu kuwa familiar na CHADEMA ni lazima uwe mwanachama wa CHADEMA?! Jipange kabla hujakosea coz' inaonekana huelewi unachokikosoa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom