Job seeker; hali ni mbaya, we better think outside the box "employment" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job seeker; hali ni mbaya, we better think outside the box "employment"

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mayu, Aug 17, 2012.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi ni Advanced diploma holder wa Accounts, huu ni mwaka wa pili sasa nasaka ajira bila mafanikio sana sana nimeishia kufanya interview za kutosha bila matokeo

  Baada ya kutafakari kwa muda na kukutana na mtaalamu mmoja wana NGO yao ya utafiti alinipa data ambazo kidogo zinatisha

  Mfano mwaka wetu 2010 tulihitimu wahasibu kutoka vyuo vyote Tanzania tulikuwa zaidi ya elf15 na soko linahitaji wahitimu wasiozidi elf5 hii inamaana karibu wahitimu zaidi ya elf10 tulikuwa tuna hang
  Sasa jumlisha mwaka 2011 wahitimu waliongezeka na mwaka huu wanatarajiwa kuhitimu wahasibu zaidi ya elf20 tanzania yote lakini soko la ajira ni kama wahitimu elf5 hadi sita tu

  Ukichukua wahitimu waliokuwa wanakosa kazi miaka yote hiyo na ujumlishe na wasasa uje kutoa watakao pata ajira idadi inayobaki ni hatari tupu, na kibaya zaidi wote tunategemea ajira tu

  Mchanganuo huu ni kwa wahitimu wa mchepuo wa kihasibu tu, bado hujagusa wa rasilimali watu hr, ambao idadi yao inatisha, na pia wanasheria vile vile na nyanja zingine
  ,bora walimu na drs

  Na hapo sijazungumzia ajira za kubebana, ujuzi, na kuchuana na wale ambao wako kwenye ajira tayari lakini wanaomba pia, plus kuna wenzangu na mimi tuna gentleman pass, viinglish vya kubabia basi inakuwa balaa zaidi

  Tatizo lingine serikali imeshinda kuandaa mfumo mzuri wa ajira,mambo ni shaghala baghala
  kwenye ajira
  Hakuna utaratibu mzuri wa uwezeshaji vijana kujiajiri

  Lakini sasa hatuwezi tukawa kila siku tunalia na serikali tu wakati tunadidimia na umri unasonga na njia zingine zipo za kutoka

  Ni lazima sasa tufikirie kujiajiri kama wajasiliamali iwe ni first periorty na ajira inafuatia

  Pia nimegundua kwenda front peke yako ni ngumu pia ila kama ma graduate wakijiunga wawili watatu mkapanga kitu cha kufanya naona nafasi ya kutoka ipo kubwa

  Binafsi ninaplan za kumwaga ila wakati mwingine nakwama jinsi ya kuimplement kwa sababu za kiuchumi na kukosa mawazo mbadala

  Kama tukiwa watu kama watano au kumi hivi naamini tunaweza kushare ideas na kuja na kitu kizito

  Natumia wasaa huu kuomba watu ambao wapo siriazi kabisa tutafutane then tuone inakuwa

  Tukumbuke kujaribu si kushindwa na something is better than nothing

  Waweza kutumia uzi huu au check na mimi kwa pm

  Mawazo zaidi yanakaribishwa

  Muhanga wa ajira
   
 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wazo zuri sana.Anita kwa sasa moans ujuane na riz one
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mkuu mawazo yako ni mazuri sana. Ila nikushauri kitu kimoja. Wewe unatakiwa kusonga mbele na wazo lako na kuhusu mtaji anza na aidea ambazo hazihitaji capital kubwa sana mfano sevice. Na unatakiwa KUCHOMA MELI MOTO Wagiriki wakati walop kuwa wakienda vitan enzi hizo walikuwa wanachoma moto meli zao mara tu walipo kuwa wakifika pwani ya eneo la vita hii iliwanya wagiriki kuwa na only one optional nayo ni ya kushinda vita tu. Kwa sababu hata wakisarenda hawataweza kurudi kwao make walisha choma meli zao zote so hii ya kuchoma moto iliwapa ari ya kupigana na mara zote walishinda.

  So na wewe huna budi kufumbia macho vikwazo vyote make vikwazo vingine husababishwa na marafiki na ndugu.
   
 4. K

  Kichope New Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poje sana,nami ni mhanga wa ajira ila sio mhasibu.
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  jamani poleni sana wahanga ,ata mimi ni ex-mhanga maaana hua inaumaa sana kwa msomi kukaa nyumbani bila kufanya kazi ila msikate tamaa MUNGU atawasaidia!
  jambo mnalotaka kufanya kujiajiri ni zuri sana,maana hizi ajira za watu ,unabanwa unashindwa kufanya maandeleo yako binafsi unamtumikia mwajiri tu
   
 6. M

  Madewa JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 350
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aksante sana kwa mtazamo wako mzuri.
  Mawazo yako ni ya kishujaa, na vijana wengi inabidi tuondokane na ule mtazamo wa kuajiriwa, na sasa tufikirie zaidi ni kwa vipi tunawezajiajiri wenyewe.
  Not always that something is better than nothing, sometimes nothing is better than something.
  Thanks once again.
  Regards.
   
 7. M

  Mayu JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Thanx mkuu kwa ushauri wako murua
   
 8. M

  Mayu JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Pamoja sana tu mkuu, nashukuru kwa maoni yako
   
 9. M

  Mayu JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Akhsante mkuu kwa muono wako,
  Hata hivyo nimegundua watu hatujiamini kwa kile tunafikiri tunaweza kufanya

  Hakuna kitu kibaya kama kudhani wazo langu litaonekana la kijinga, nimepokea baadhi ya PM lakini karibu wote wanataka kujua ninaplan gani badala ya kutaka kukutana na kuangalia tufanye nini

  Sita kata tamaa kamwe
  Hii ndio njia pekee ya uhakika ya kutoka

  Nakaribisha hata mawazo ya aina ya ujasiliamari tunaoweza kufanya
   
 10. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35  oi mi npo siriaz pia n mhanga wa ajra ka vp tuwasiliane ili tu emplement hyo plan
   
 11. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ..Em in Guys.....any suggestion?!!
   
 12. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kisaikolojia tu ulishafeli. Kwa leo hii tu, wapo wengi waliopata ajira, huo ni mtazamo wako binafsi. Then umeshapata wasaa na kutafakari kwa nini unafeli interviews zote ulizofanya? Isije ikawa Uli graduate with the aid of MIGI's
   
 13. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  si kosa lenu wadogo, ni nchi kufikiri elimu ni masomo ya biashara na arts tu. kila chuo kinachoanzishwa ni arts na commerce na cku hizi imekuja hii wanaita ict.

  sie tulosoma science subjects like engineering tunakula raha tu, ajira zinatutafuta zenyewe.
   
 14. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa zangu wamemaliza Telecom pale CoeT na GPA za ukweli hadi leo hawana job, ka ni aje sema niwa direct kwako ni maengineer wenzako.
   
 15. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hao nao ni kundi la ict! wape pole, ila watapata wavumilie, sie hatuhusiki na ict kwa kampuni yetu, tuna ajili engineers yes ila wengi wana good background ya ict kama added advantage.
  Katika ulimwengu wa sasa watu wanapenda kuajiri vijana wenye sifa basics kama vile ict knowlwdge, driving skill (manual car na siyo automatic cars tu) na typing skills angalau basic. Halafu sasa ndo watakuuliza wht type of an engineer are you (if chemical, electrical, mechanical, civil.
  Kwa hiyo ukisoma telecom au computer engineering mara nyingi unajifunga na ajira ya aina fulani tu wakati siku hizi kila kona watu wanasoma ict just to supplement their qualification. Mie mwenyewe ilibidi nirudi ucc pale kupiga hivo vi cisco, mcsa na windows angalau shughuli zangu ziende poa, hivo mtu wa ict huwa hanipi taabu kabisa kwani i can also do his job very well.
   
 16. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  U talk too much coz uko na job, ila kilichokupeleka ucc ni GPA ya pass uliyonayo.
   
 17. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  issue ni pass au sustainable job, anyway, acha hasira dogo. kama nawewe ni wa hayo makundi nilotaja vuta subira
   
 18. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Serikali zilizomakini kama Srilanka na Zimbabwe zimewaandaa vijana wake kwa "Labour export market" Tanzania bado hata kumpa raia wake pass ya kusafiria haitaki. Kenya sasa hivi wamejazaa Sudan ya kusini sisi tunabaki kuongejea Idara ya Utumishi wa umma watangaze kazi
   
 19. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  God will lead us in from roots to the tops.
   
Loading...