Job seeker

Goodhope078

Member
Mar 8, 2017
70
23
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 napatikana Mpanda Katavi.

Nina elimu ya stashahada/Diploma ya Human resources management.

Napia nina uzoefu wa kufanya kazi katika shirika la Tanzania Zambia railway Authority (TAZARA) kwa muda wa mwaka mmoja.

Pia nimehudhuria mafunzo ya uongozi na utawala Bora (Leadership ethics and good governance) katika Moja ya taasisi za elimu Tanzania.

Pia ninao uzoefu wa kutumia computer

Naomba frusa ya kazi hata ya kujitolea katika sehemu yoyote kama ipo nitaifata mkoa wowote.

Napendelea Zaidi kwenye mashirika ya kiserikali na yasio ya kiserikali, Ofisi za halmashauri ya miji au wilaya, Ofisi za watendaji wa vijiji/mtaa, Ofisi za watendaji wa kata.

Naomba sana waungwana mnisadie mdogo wenu, ahsanteee sana.

Mawasiliano yangu Whatsapp/call 0787777670
shijajilatu128@gmail.com
 
Back
Top Bottom