Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Ndo maana kila mara amechoka choka Bungeni. Kama yeye si mlevi wa pombe au"sigara" huo ndio ulevi wake mpaka kusahau ana Watoto wangapi. Lakini kwa kuwa nasikia fani yake ni Wanyama Pori na kweye ikolojia ya wanyama pori (competition), DUME Bora ni lile linaloweza kusambaza vinasaba (genes) vyake kwa wingi zaidi ya mwingine (yaani Watoto). TAFAKARI (inaelekea Uasherati ni Sera ya MAGAMBA unamkumbuka Chemba huko Igunga na ? huko Singida?)
Sasa hapa kati yake na wabunge nani wakupimwa?
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.
Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
Mngekuwa mna akili hata kidogo mngeelewa anachokwepa si suala la watoto au mke bali kuleta kwenye mjadala maisha yake binafsi. Kwa kukusaidia tu na yeye amefanya kama aloyafanya Slaa, yaan kamuacha mke wake anaishi na mwanamke mwingine. Anachoogopa ni kurudia kosa la Slaa pale jangwani.
kajidhalilisha tuKatika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Na watu kama Hao Wanajisifia kwenye TV na bado wanapewa Kura na Wananchi? Hiyo ni Sifa baba kuwa a rolling stone?
Kweli tuko Mbali kuendelea, na huyo Mtangazaji hakudiriki kuuliza Maswali ya kumbana na kumuaibisha? News Anchors
Wengi wana angalau a LLB hii inatuaibisha sisi Wanaume... SIO SIFA HATA KIDOGO
Watu wanachekesha sana humu, huyu jamaa kumwacha mkewe na kuchukua kiji-nyambizi kingine amekuwa muasherati. Mhhhh, Tanzania ina mambo yake.
Sifikiri kama jamaa ameshindwa kutaja watoto wake, ila nafikiri hakutaka kuingiza mambo binafsi kwa media na siasa. Si ule upande wa pili hali ya namna hiyo, huwa hamsemi maadili bali mambo binafsi, inakuwa je leo mnauliza maadili?
kajidhalilisha tu
MAADILI ZERO... lakini bado anasimama na kusimamia sheria ambazo nyingine zinatakiwa kulinda wanawake na watoto waliozaliwa na mababa donoa donoa namna hii