Job Ndugai live Star TV Jumapili

Job Ndugai live Star TV Jumapili

KITANGE

Senior Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
138
Reaction score
42
Wana Jf kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku jana, mtangazaji wa star tv alisema Jumapili tarehe 15.09.2013 kwenye kipindi cha tuongee asubuhi watakuwa na naibu spika Job Ndugai.

Hakusema majina yawashiriki wengine watakaokuwepo kwenye kipindi hicho, walahakusema mada itakayozungumziwa.
Nina hakika suala la mswada wa sheria ambao ulileta sintofahamu bungeni hataweza kuuepuka kuuzungumzia.

Nimeona niwape taarifa hii maana kuna wakati wa kupiga simu na kuuliza maswali.

Nawashukuru sana.
 
Ndugai anatafuta kujidhalilisha tu. Hana uwezo wa kuongea kitu cha maana na kuweza kuwashawishi wanaomsikiliza kuwamini kuwa ni kiongozi wa kiwango
 
akialikwa lissu tu basi jamaa lazima aingie mtini...
 
kwahiyo huyo mtu bado yupo nje basi hiyo jumapili lazima wamkamate kosa lake kavunja kanuni za bunge
 
ndugai ni mwamba kudadadadadadadaddadadadadaaaaaadekiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Asipoalikwa John Mnyika nitaitilia mashaka Star tv. Hii ni kwasababu kwenye mjadala wa J'3 alikuwepo Mnyika ambaye alikuwa na mambo mengi ya kufafanua, wakati Ndugai alikuwa mshiriki kwa njia ya simu. Nakumbuka Mnyika aliomba pale pale hewani kwamba atakapoitwa Ndugai studio basi naye anaomba aalikwe aje studio ili waongee mambo kwa vielelezo na sio kupiga domo tu.
 
Watakaomsikiliza NduSHOGA watakuwa hawana shughuli ya kufanya,Ni hafadhari niangalie kipindi kingine chochote muda huo huo hata kama hakina maana kuliko kumsikiliza huyu KISILANI.
 
afanyiwe surprise kwa kumletea TL,tuone kama sauti ya kiume itatoka kwa Ndugai
 
kwahiyo huyo mtu bado yupo nje basi hiyo jumapili lazima wamkamate kosa lake kavunja kanuni za bunge

jama kama kuna mtu amefanikiwa kumuelewa huyu wema,atueleweshe na sisi,mana naona anatimua vumbi tu
 
Hakika mjadala wa j3 alikuwa anasikika kwa shida, sasa j2 ni fursa kwake kujibu kwa nini hakumuita mpambe wa bunge...sagent at army, na kwa nn alijipa kazi ya uamir jeshi pale bungeni, ni kwa nn hakusitisha kikao cha bunge kama kanuni inavyomuelekeza..na kwa nn hao anaowatuhumu wamefanya fujo hawakupelekwa kwenye vikao vya maadili.
 
Watakaomsikiliza NduSHOGA watakuwa hawana shughuli ya kufanya,Ni hafadhari niangalie kipindi kingine chochote muda huo huo hata kama hakina maana kuliko kumsikiliza huyu KISILANI.

tumsikilize tu, naamini atafanya kituko studio! The guy is insane
 
kwahiyo huyo mtu bado yupo nje basi hiyo jumapili lazima wamkamate kosa lake kavunja kanuni za bunge

Dada yangu una Stress nini?Naona kama uliandika comment ukiwa bado una hasira hivi sijui Mumeo kakufanya nini tena?Ungelala kwanza akili itulie!
 
Nami sugu ntakuwepo kama moderator wa kipindi, huku mbowe na lisu wakichagiza hoja moto moto.
 
Thanks kwa taarifa ndugu...tutamsikiliza jinsi anavyotokwa MAPOVU...maana jamaa ana-kisukari (hasira) sana, imani yangu ataji-control studioni.
 
afanyiwe surprise kwa kumletea TL,tuone kama sauti ya kiume itatoka kwa Ndugai

umenikumbusha kuna siku walikutana kwenye kipima joto ITV alibanwa ikafika sehemu akawa ni zamu yake ya kuongea aliomba arukwe kwanza,na yule mzee nasako alivyo balaa alimuambia ni zamu yako ongea! Ndugai alitia huruma kweli
 
Kwangu mimi siwezi kumsukiliza kwani ana hasira ya kijnga,hawezi kujenga hoja na hana busara!
 
Back
Top Bottom