Usiongeze...tembea utagunduaMzee unadhani nina neno la nyongeza?
Hatari Sana....Litalipuka baadae, but litakuwa kubwa mno
Walaini hao!Watoto wengi wa kiume wanakata mauno tu
Ova
Hao wanagomnea viti maalum mnyukano mkali, kina mama wameshashtuka sasa kuingiliwa kwenye qualuficatiins zao.Aiseee
Ni kweli kabisa ukiwasimamisha Lucas Mwashambwa na Halima Mdee utalielewa hili vizuri
Nyuma yapp pazia wanakalia Mikia 😁Hao wanagomnea viti maalum mnyukano mkali, kina mama wameshashtuka sasa kuingiliwa kwenye qualuficatiins zao.
Kina Lucas wanajiita machawa lakini nyuma ya pazia wanaeleweka.
Kuna video humu mama wa ccm kacharuka hataki machawa/ mapunga yaendelee kukaa siti za mbele ccm yanawatia vinyaa.Nyuma yapp pazia wanakalia Mikia 😁
Ndo maana kina James Delicious wengi
Huyu aliapa kuwalinda civd 19 japo walivunja katiba ya nchi. Kiufupi hana lolote huyu
Atakuwà alilewa kama nape akaropokaSpika wetu vipi? Mambo ya jimboni kwako je? Hatukusikii sikii kabisa, au na wewe upo na sisi kwenye no reforms ila kimya kimya wasishituke tena.
Pole sana mzee wa Nazaleti - siku zinakwenda kwa kasi mno yaani kutoka kutoa amri CAG aletwe Bungeni kwako kwa pingu hadi kuwa raia mtiifu namna hii.
Amani iwe nawe. Pamoja.