Job Ndugai ajitenga na Sherehe za miaka 45 ya CCM

Mbunge wa Kongwa na Spika aliyelazimishwa kujiuzulu baada ya kutofautiana na Mwenyekiti wa CCM , Mh Ndugai hayupo Mkoani Mara ambako kunafanyika Sherehe za miaka 45 ya chama chake .

Taarifa zinadokeza kwamba Bwana Ndugai ameamua kususia sherehe hizo ili kuonyesha kutoridhishwa kwake kwa jinsi alivyong'olewa kwenye uspika .

View attachment 2108759
Je!
Wewe mleta Post ungekuwa wewe ndio Ndugai ungekwenda Musoma kushiriki na watesi wako.

Lakini pia ulitaka Ndugai aende au ajipeleke bila Mwaliko?

Kuna uthibitisho wowote ambao umeuona mahali mfano wito au barua ya mwaliko toka CCM kwenda kwa Ndugai ili kuthibitisha kwamba amesusia?

Ndugai kisha waachia uspika uliokuwa Nongwa kwenu, na kupelekea chuki kubwa dhidi yake.
Pengine kutokana na wabunge wenu wa mchongo wa Mbowe na Halima Mdee.

Sasa ni vema mngemuachia apumzike na kujiandaa kurudi bungeni kuwatumikia wapiga kura wa jimbo la Komgwa.

Acheni kusakama watu kwa chuki zenu binafsi.
View attachment 2108828
 
Mbunge wa Kongwa na Spika aliyelazimishwa kujiuzulu baada ya kutofautiana na Mwenyekiti wa CCM , Mh Ndugai hayupo Mkoani Mara ambako kunafanyika Sherehe za miaka 45 ya chama chake .

Taarifa zinadokeza kwamba Bwana Ndugai ameamua kususia sherehe hizo ili kuonyesha kutoridhishwa kwake kwa jinsi alivyong'olewa kwenye uspika .

View attachment 2108759

68923E96-2785-4EA1-8DB2-5EB6C45F8546.jpeg
 
Mbunge wa Kongwa na Spika aliyelazimishwa kujiuzulu baada ya kutofautiana na Mwenyekiti wa CCM , Mh Ndugai hayupo Mkoani Mara ambako kunafanyika Sherehe za miaka 45 ya chama chake .

Taarifa zinadokeza kwamba Bwana Ndugai ameamua kususia sherehe hizo ili kuonyesha kutoridhishwa kwake kwa jinsi alivyong'olewa kwenye uspika .

View attachment 2108759
Ndugai hata bungeni hayupo
 
Wabaya wa CHADEMA wanazidi kupukutika.. Hivi bado hawajastuka tu kwamba hiki ni chama cha maono? Ukicheza nacho unaumia wewe? Mbeba maono hafi.. Stelingi hauwawi
 
Mbeba maono hafi??What a load of bullshit.Ndesamburo yupo Kiboroloni?
 
Mbunge wa Kongwa na Spika aliyelazimishwa kujiuzulu baada ya kutofautiana na Mwenyekiti wa CCM , Mh Ndugai hayupo Mkoani Mara ambako kunafanyika Sherehe za miaka 45 ya chama chake .

Taarifa zinadokeza kwamba Bwana Ndugai ameamua kususia sherehe hizo ili kuonyesha kutoridhishwa kwake kwa jinsi alivyong'olewa kwenye uspika .

View attachment 2108759
Kwani wabunge wengine wa CCM wote wamekwenda? Kwa sasa Ndugai ni mbunge tu. Hivyo, hawajibiki kwenda,
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom