Job Ndugai ajitenga na Sherehe za miaka 45 ya CCM

Job Ndugai ajitenga na Sherehe za miaka 45 ya CCM

Wabaya wa CHADEMA wanazidi kupukutika.. Hivi bado hawajastuka tu kwamba hiki ni chama cha maono? Ukicheza nacho unaumia wewe? Mbeba maono hafi.. Stelingi hauwawi

Sas hebu tujiulize baada ya hao wanaoitwa wabaya wa chadema kupukutika tuambiwe Chadema wamenufaika na nini? Wamepata nini? Hao wabaya wa chadema na chadema wenye wana tofauti gani?

Au chadema nao wanamuunga mkono Mama kwa sasa katika kuupiga mwingi? Chadema kwa sasa wako sambamba na serikali?
 
Wasaga sumu wanasema hata maadhimisho ya Chama Kongwa hajaonekana?
Mbona Jk kaonekana maadhimisho ya Chama Chalinze

Hahahahaha Jk ni Rais wa Jamhuri awezi kukosekana kabisa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa kwa kupenda conspiracy theories na majungu hujambo.
JF umegeuza kijiwe chako cha kahawa.Ndugai ni mbunge wa kawaida sasa.Mbunge wa Kongwa.Au ulikuwa kwenye coma?
Hivi wabunge wote wamehudhuria?Ulikuwa na roll call ya kujua nani kahudhuria?
Endelea kujenga nyumba za theluji jangwani.
Pole kwa maumivu kijana , utusamehe hatulengi watu binafsi , inatokea tu
 
giphy.gif
FB_IMG_1643542111526.jpg
 
Amekwenda kwa wakati wake, lkn Hawa Mh! Bado wewe
Huu ujinga wa kufikiri kwamba eti kuna maono.Kila nafsi itakufa wewe mjinga sana kufikiri kwamba hutakufa au utatangulia kabla ya wakati wako.Ukifa ndio muda wako umefika.
 
Mbunge wa Kongwa na Spika aliyelazimishwa kujiuzulu baada ya kutofautiana na Mwenyekiti wa CCM , Mh Ndugai hayupo Mkoani Mara ambako kunafanyika Sherehe za miaka 45 ya chama chake .

Taarifa zinadokeza kwamba Bwana Ndugai ameamua kususia sherehe hizo ili kuonyesha kutoridhishwa kwake kwa jinsi alivyong'olewa kwenye uspika .

View attachment 2108759
Hana madhara,soon mtamsahau
 
bila shaka ndiye mgombea Urais CDM 2025..
 
Pole kwa maumivu kijana , utusamehe hatulengi watu binafsi , inatokea tu
Wewe kuniita mimi kijana?Thinking capacity yako iko chini sana.Hulengi mtu binafsi?Ndugai sio mtu binafsi?
Umekalia majungu na hearsay.Hakuna cha maana unacho contribute kwenye jamiii forum. Grow up.
 
Wewe kuniita mimi kijana?Thinking capacity yako iko chini sana.Hulengi mtu binafsi?Ndugai sio mtu binafsi?
Umekalia majungu na hearsay.Hakuna cha maana unacho contribute kwenye jamiii forum. Grow up.
Pole kwa njaa kijana , Ni kweli kwamba Ndugai hajahudhuria sherehe za ccm , sasa kama unabisha basi jiue tu
 
Pole kwa njaa kijana , Ni kweli kwamba Ndugai hajahudhuria sherehe za ccm , sasa kama unabisha basi jiue tu
Kwani ni Ndugai peke yake hajahudhuria?.Umri wangu unatosha kufunga kanga ya mama yako.Sina njaa nina uwezo wa kuwalisha vinuka mkojo kama wewe watano.
 
Kwani ni Ndugai peke yake hajahudhuria?.Umri wangu unatosha kufunga kanga ya mama yako.Sina njaa nina uwezo wa kuwalisha vinuka mkojo kama wewe watano.
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
 
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kujiliwaza
Kukudhihirishia kwamba sio mwenzako.Naku challenge tafuta charity yeyote ya watoto yatima.Changia milioni 5 nitachangia milioni 10.
Ya nini tuandikie mate?
Unapoita watu kijana na maskini kwangu ni tusi.
Hivyo ukitukanwa na wewe vumilia.Take the challenge wacha bla bla.
 
Jamaa kwa kupenda conspiracy theories na majungu hujambo.
JF umegeuza kijiwe chako cha kahawa.Ndugai ni mbunge wa kawaida sasa.Mbunge wa Kongwa.Au ulikuwa kwenye coma?
Hivi wabunge wote wamehudhuria?Ulikuwa na roll call ya kujua nani kahudhuria?
Endelea kujenga nyumba za theluji jangwani.
Mwache aendelee na ngonjela zake
 
Back
Top Bottom