Job Ndugai ajitenga na Sherehe za miaka 45 ya CCM

Job Ndugai ajitenga na Sherehe za miaka 45 ya CCM

Kukudhihirishia kwamba sio mwenzako.Naku challenge tafuta charity yeyote ya watoto yatima.Changia milioni 5 nitachangia milioni 10.
Ya nini tuandikie mate?
Unapoita watu kijana na maskini kwangu ni tusi.
Hivyo ukitukanwa na wewe vumilia.Take the challenge wacha bla bla.
We badala ya kusaidia kapuku mwenzio huyu hapa unahangaika kutukana hapa jf

FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Sas hebu tujiulize baada ya hao wanaoitwa wabaya wa chadema kupukutika tuambiwe Chadema wamenufaika na nini? Wamepata nini? Hao wabaya wa chadema na chadema wenye wana tofauti gani?

Au chadema nao wanamuunga mkono Mama kwa sasa katika kuupiga mwingi? Chadema kwa sasa wako sambamba na serikali?
Mmh haya maswali kwa leo sina majibu yake
 
Lema na Lisu mnafanya nini Ulaya?

Vya bure vinaponza
Wewe unafanya nini huko uliko?
Sio kila nchi ipo ulaya
Ulaya ni Europe
Belgium ipo Europe
Canada ni North America au Amerika ya Kaskazini
Huko nako wanaishi watu sio mbuzi
So Kwa ufupi uliowaulizia ni miongoni mwa watu wanaoishi huko ulikoita "Ulaya"
Punguza wivu na roho mbaya
Povu ruksa
 
Back
Top Bottom