Joan Wicken na Annar Cassum walikuwa wasaidizi wa mwalimu J.K. Nyerere, ingekuwa wakati huu, wangesema anatumika na mabeberu

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,996
20,647
FB_IMG_1600314212889.jpg
 
Hakuna watu wajinga na vilaza kama CCM ndugu yangu. Amini amini nakwambia. Na Ndo mana nchi yetu imekuwa masikini kwa kipindi kirefu. Tunsongozwa na watu wenye akili mbovu kupindukia!

Hatuna budi kuitoa CCM kwa namna yeyote ile mwaka huu.
 
Wakitupa misaada ni wahisani wabia wa maendeleo.

Wakitunyima misaada ni Mabeberu.

Jiwe ameharibu sana maadili ya Taifa na utu wa Mtu.

unamuitaje mtu anayekunyima lifti ukiwa porini na kiu,na unamwitaje mtu anakupa lifti kwa huruma ukiwa porini una kiu.

tatizo lenu wapinzani,mmeamua kwa makusudi kabisa kutotumia akili,halafu ccm kwa makusudi kabisa wanapenda kuwachezea kupitia ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom