JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

JM Luxury coach: Mbadala wa Scandinavia Express

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,206
Reaction score
25,399
Nilipoambiwa na Rafiki yangu mmoja ambaye amepangiwa kituo cha kazi kusini mwa Tanzania kule Gas inapochimbwa Mtwara aliniambia kama naenda niwe makini kuchagua usafiri mzuri, vile sikuwa na uzoefu kusafiri mikoa ya kusini alinipa option ya magari/kampuni kama 3hivi machinga, maning nice na jm luxury na kuniambia kati hizo akaniambia nenda kachukue tiketi za jm, nilimuulza mbona mabasi hayo ni mageni njia hii? Akanijibu "ah hawa jamaa wapo kwenye game /huduma muda mrefu"

Nilichokikuta kwenye mabasi njiani tukienda mtwara.
kwanza nilipenda matangazo ya awali safari inapoanza likiwemo la kufanya sala, pili jamaa wanakuwa smart kwenye uniform na mabasi yao, pia issue ya uchafu kwamba mtu ukila usitupe nje uchafu -hii nimeipenda ila kwa mfumo wa ndugu zangu watanzania bado inasumbua wengi maana mpaka mwisho wa safari niliona wengine wamepewa mifuko ya uchafu lakini wakawa wanatupa ndani.ya bus, lililonifurahisha jamaa wanakataza abilia kusimama kuwahi mlangoni kushuka kabla bus halijasimama, hii imekaa vyema maana tatizo laweza kutokea bila hodi, nk.
Mwisho nilimpa big up driver na conda wake kwa hali ile walikuwa na bus lenye namba T956 CGK.

IN TAKE yangu angalieni msije.kuwa nguvu za soda maana mkisha nogewa tu mnajisahau, kwani tulikuwa na scandinavia jamaa walikuwa wazuri sana maana.hata abilia 5 gari inasonga mbele.

Na je,.mmekuwa mbadala au ni kipindi then mnahama biashara.
 
Post 9.
Mkuu tupe mgao nasie tupige Promo.
Maana njia hizo na magari yanajulikana.

Au Ajali nyingi wateja wamepungua.
 
kuifikia scandinavia mtangoja sana, ile ilikuwa ndege ya vumbini, abiria watano gari inaondoka kwenda dodoma, hakuna kujichanganya kwenye stendi ya abiria wengi wana parking zao exclusive zenye huduma nzuri kila stendi...basi tu wakati mwingine biashara zikiingiliana na siasa au zinaweza kwenda mrama tu! tangazo zuri lakini, next time lipia tu uweke bango hapo juu ya ukurasa wa jf....saaafi utaona wateja kibao!
 
Ni sawa na nilivyopenda huduma za ABC Upper Class nilivyoenda dodoma. Nimejikuta kila saa naisubiri hii gari. Nimeipenda sana.
 
Ni kwel hao jamaa uliowataja wako vizuri. Mabasi ni mengi na tena yanaenda hadi kule kanda ya nyanda za juu kusini. Inasemekana ni tajiri kutoka Mbeya kama sikosei. Kwa kifupi, siku hizi ukiwa unaenda Mtwara unachagua tu aina ya basi na muda gani usafiri. Kuna route ya saa12, 4, 5,7 na saa9 alasiri. Ukitoka saa 9 saa4 usiku ushaingia Dar au Mtwara.
Ni mwanzo mzuri kuelekea maendeleo kule kusini ya Tanzania
 
Scandinavia haitakaa itokee Tanzania tena. Sijui mzee Mohamed ameanzisha biashara nyingine
That was the bus. Dar Bukoba kwa passport. Dar Musoma kwa passport. Dar Nairobi. Dar Mombasa. Dar Tanga. Dar Arusha name it na route hiyo walikwenda ispokua Mtwara maana hakukua na abiria wenye hadhi ya kupanda MARCO POLO ANDARE CLASS
 
SUMAYE ALICHOMOA HISA zake Scandnavia baada ya kumaliza kipindi chake cha u PM
 
Scandinavia haitakaa itokee Tanzania tena. Sijui mzee Mohamed ameanzisha biashara nyingine
That was the bus. Dar Bukoba kwa passport. Dar Musoma kwa passport. Dar Nairobi. Dar Mombasa. Dar Tanga. Dar Arusha name it na route hiyo walikwenda ispokua Mtwara maana hakukua na abiria wenye hadhi ya kupanda MARCO POLO ANDARE CLASS

Tuombe radhi watu wa Mtwara, kama ndege za abiria mbili kwa siku zilikuwa zinakuja sembuse hayo mabasi? Tatizo ni barabara kwa wakati huo ilikuwa mbaya mno.
 
Ni kwel hao jamaa uliowataja wako vizuri. Mabasi ni mengi na tena yanaenda hadi kule kanda ya nyanda za juu kusini. Inasemekana ni tajiri kutoka Mbeya kama sikosei. Kwa kifupi, siku hizi ukiwa unaenda Mtwara unachagua tu aina ya basi na muda gani usafiri. Kuna route ya saa12, 4, 5,7 na saa9 alasiri. Ukitoka saa 9 saa4 usiku ushaingia Dar au Mtwara.
Ni mwanzo mzuri kuelekea maendeleo kule kusini ya Tanzania

Kasahau 5 alliance na Mtoto wa Mwanza pia wapo vizuri. Na kwa kusafiri kwangu maeneo mengi naamini Mtwara ndio sehemu yenye asilimia 90 ya mabasi ambayo ni mazuri na hayana ubabaishaji.
 
ama hakika gas ni kichocheo cha maendeleo kusini.sikutegemea itafika siku moja mtu ataleta tangazo kutangaza bus zake zinazoenda kusini mwa tz.ni kiashirio tosha kwamba sasa kusini ni lulu kibiashara na ushindani ni mkubwa.

wamakonde akina THE BIG SHOW fungeni mkanda, punde kidogo wachaga,wasukuma,wahaya,wanyakyusa,wangoni nk watawaheshimu.lol

shikamoo gas.
 
Last edited by a moderator:
Mi msafiri mzuri sana wa Dar Arusha usafiri sio shida, Dar Exp japo wamechoka ila sibaya, Kilimanjaro wapo. Vipi Dar Mwanza mabasi gani mazuri/
 
Nyie pigen kelele lakin me nikiwa nna safar za Ruangwa kampuni yangu ni Wifihakuna soda,hakuna maji,hakuna matangazo lakini abiria unaridhika na safari,,,,,the bus
 
Mpaka sasa hakuna n haijatokei standard ya Scandinavia. tuliosoma kampala tuna ushahidi wa kutosha sana.
 
Scandinavia haitakaa itokee Tanzania tena. Sijui mzee Mohamed ameanzisha biashara nyingine
That was the bus. Dar Bukoba kwa passport. Dar Musoma kwa passport. Dar Nairobi. Dar Mombasa. Dar Tanga. Dar Arusha name it na route hiyo walikwenda ispokua Mtwara maana hakukua na abiria wenye hadhi ya kupanda MARCO POLO ANDARE CLASS

Mohammed Freight sasa hivi ana mabasi yanaitwa Green Star.
 
Nyie pigen kelele lakin me nikiwa nna safar za Ruangwa kampuni yangu ni Wifihakuna soda,hakuna maji,hakuna matangazo lakini abiria unaridhika na safari,,,,,the bus

Wifi nae safi sana hadi masasi nimelitumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom