Au basi tuKisa?... Au basi..!
Basi mimi kama sina kasoro basi ni mkamilifu.. Maana si kwa utulivu huu.. Hata maji mtungini yanasubiri😀Kwa mwanaume, kutulia kabisa huwa hakupo, kuna episodes za hapa na pale. Ila kuwa na life partner ni kwenye 30s, hapo lazima kengele igonge kuwa mda unaenda!
na hata yakitoboka tuone kama hayatazibikaTuyajenge tuone kama hayatatoboka,
Ulishasumbuka sana, umeona upumzike sasa. Ila ni mapumziko tu, mda wowote gari inatekenywa!!Basi mimi kama sina kasoro basi ni mkamilifu.. Maana si kwa utulivu huu.. Hata maji mtungini yanasubiri😀
Maisha mafupi inabidi uanze kujenga familia mapemaAt least 40😀
Wee bado mteke sanaTufanye nijibu swali
Miaka 35
KwaniniWee bado mteke sana
Kwanini