Bado?Ngoja kwanza nimalize kufuta machozi na kamasi, afu kwikwi ikikata.
Nitarudiii, ππ
Mapenzi ya kwanza ndio huwa yanatufundisha maana ya wivu, maana ya kusalitiwa, maana ya kumkumbuka mtu, na maana ya kupenda. Yaani hapo ndipo mtu huwa anajua kuwa yeye ni ni mtu wa aina gani kwenye uhusiano.Mapenzi ya kwanza ndio huwa yanatufundisha maana ya wivu, maana ya kusalitiwa, maana ya kumkumbuka mtu, na maana ya kupenda. Yaani hapo ndipo mtu huwa anajua kuwa yeye ni ni mtu wa aina gani kwenye uhusiano.
Huwezi kusahau darasa lililokupa msingi wa maisha yako yote ya mahusiano, it's simply impossible.
πΉπΉπΉNgoja kwanza nimalize kufuta machozi na kamasi, afu kwikwi ikikata.
Nitarudiii, ππ
Pampula π π π πMimi sina ex hivyo sikumbuki chochote..!!
Wee ushakuwa kicheche mafile yote yamefutika..!! πΉMbona mimi nakumbuka husiano langu la Sasa hivi tu π.
Wee ushakuwa kicheche mafile yote yamefutika..!! πΉMbona mimi nakumbuka husiano langu la Sasa hivi tu π.
Vibuyu πΉπΉPampula π π π π
π π π π πWee ushakuwa kicheche mafile yote yamefutika..!! πΉ
Halafu husiano la kwanza linakuwaga kati ya mtu asie na Pesa ( Pampula) π na mdada anaehudumiwa na wazazi wakeVibuyu πΉπΉ
Mtsiewwww πΉπ π π π π
Sina File hata Moja
Na Roho ya huruma Sina π