mkuu kuna ukweli kuwa watu wenye kigugumizi hawahitajiki jeshini?
afu na oral interview utafanyaje sasa cz huwa wanakuchanganya na maswal meng kwa mpigo,,,
mkuu kuna ukweli kuwa watu wenye kigugumizi hawahitajiki jeshini?
keisangora unataka kwenda cadet ?
hawatakiwi. Utatoaje sauti kwenye gwaride. Pia wanakagua nguvu za kiume pamoja na vitovu virefu.mkuu kuna ukweli kuwa watu wenye kigugumizi hawahitajiki jeshini?
Ndio mkuu nataka niendeko huko. Hata mwaka jana walikuja chuoni kuchukua pale direct sijui mwaka huu itakuwaje
afu na oral interview utafanyaje sasa cz huwa wanakuchanganya na maswal meng kwa mpigo,,,
J3 saa 3asbuh hadi 9mchanaNaomba kuuliza mwisho wa kutuma maombi ni lini kwa mkoa wa dar?
Vipi na mikoa mingine
Nipo karatu
Mwenye news za huku mtwara jkt nan jaman wadau?