JKT ni staff kwenye gari la abiria?

Nov 20, 2016
70
35
Jamani wana familia wa jf
Hivi ni sahihi ndugu zetu waliokuwa JKT kulipa nauli kwenye bus maana nipo maeneo hapa jamaa wawili wa JKT wameshushwa kinguvu na konda hadi huruma sana.
 
Jamani wana familia wa jf hvi ni sahihi dugu ztu walio kuwa Jkt kulipa nauli kwenye bus maana npo maeneo hpa jamaa wawili wa Jkt wameshushwa kinguvu na konda hadi huruma sana.
Sasa mbona hukuwasaidia wasishushwe unakuja kusema huku?,ili iweje sass kwa mfano?
 
Hivi huo msamaha wa kutolipa nauli unawahusu Polisi na JWTZ pekee?,kuna siku nilishuhudia askari magereza akiachwa na konda!...
 
Sasa Mimi niongee nn wakati mimi abilia sio mwenye gari na sheria hyo mimi siijui mkuu
Nyinyi ndio gari zikipata ajali unasema driver alikua speed,yaani unamuona driver/konda anafanya ndivyo sivyo unakaa kimya tu kisa wewe ni abiria?,ndio maana watoto wetu wananyanyaswa na makonda wakati wa kwenda na kurudi shule na wewe upo unashindwa kumkemea konda
 
Nina wasiwasi kama kweli hao ni jkt maana nijuavyo mimi jkt ni kopi ya jwtz na wamepiga depo wakaiva au waliazima magwanda?
 
Hii mentality ya dezo ..itawaumiza wengi. Hivi si mlishaambiwa kwamba Mzee bure hayupo tena?
 
umeandika kitu usichokijua na hueleweki

kwa kukusaidia

jkt ni jeshi la kujenga taifa hawa ni wanajeshi kama waliopo jwtz isipokuwa wao wamepangiwa kitengo cha uzalishaji mali na kusimamia mafunzo kwa vijana wanaojitolea kulitumikia taifa ktk nyanja za uzalishaji mali na mafunzo ya ukakamavu kwa mujibu wa sheria.

je hao walioshushwa walivaa uniform za aina gani?


kuna suma jkt hawa ni walinzi walio chini ya jkt baada ya vijana kumaliza mikataba yao ya kujitolea jkt ikaona si vibaya kuwasaidia vijana watakao rudi nyumbani wapate ajira za ulinzi kwa kuwa tayar wanamfunzo wasaidiwe kuliko kuzagaa mataani wao wanaajaliwa na suma sio jkt.


askar wa jkt ni mwanajeshi ni ngumu kumfanyia hayo mana ajira yake ipo chini ya wizara ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
 
Back
Top Bottom