Ungewalipia nauli.Sasa Mimi niongee nn wakati mimi abilia sio mwenye gari na sheria hyo mimi siijui mkuu
Ungewalipia nauli.Sasa Mimi niongee nn wakati mimi abilia sio mwenye gari na sheria hyo mimi siijui mkuu
Yan bora ufalakane na PTE , PSTAFF kuliko SM au SG (Hawa ndio wakala kala na sumu kibao)..,Hao SM,SG&Mujibu wa sheria sio wazembe ivyo
Labda waliazimaNina wasiwasi kama kweli hao ni jkt maana nijuavyo mimi jkt ni kopi ya jwtz na wamepiga depo wakaiva au waliazima magwanda?
Hata pantoni lina staff. By Mwana FA