JKT KUJITOLEA KWA HIARI

kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
115
57
Wakuu kuna yeyote mwenye kujua zoezi la kusajili vijana wanaotaka kuiunga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea 2019/20 limemalizika mikoa yote au bado kuna mikoa na wilaya inaendelea na usajili?
 
Wakuu kuna yeyote mwenye kujua zoezi la kusajili vijana wanaotaka kuiunga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea 2019/20 limemalizika mikoa yote au bado kuna mikoa na wilaya inaendelea na usajili?
Kwani kuna kujitolea kwa hiari na kujitolea kwa lazima?
 
Kwani kuna kujitolea kwa hiari na kujitolea kwa lazima? Ndio. mfano hawa form six leavers wao ni kwa lazima au kwa mujibu wa sheria yani hawaombi wenyewe kwa hiari yao na pia hawana hiari ya kukataa. Wa kujitolea kwa hiari ni kwa wale vijana wanaotuma maombi wenyewe kwa kufanya interview kwa wakuu wa wilaya na mikoa chini ya maafisa wa jeshi.
 
Sitosahau wiki la kunyimwa usingizi "nilisinzia kwa dakika moja na kuota ndoto Saba kawa mpigo"amakweli starehe ya kuruta Ni usingizi na kula
 
Aliye na taarifa zaid kuhusiana na hili swali la mdau tafadhali , na vigezo ni vipi vinahitajika
kuhusu vigezo wanachukua wa darasa la saba na form four nakuendelea. ila tu mchakato wakupita ili kijana apate ndio mtihani.
 
Back
Top Bottom