Jkt kanda ya kaskazini (ARUSHA) nikizungumkuti

wazabangah1

JF-Expert Member
Jul 16, 2014
315
114
Nasikitika sana, kwa taarifa zilizotufikia nikwamba mwisho Wa maombi ya kutuma jkt ni tarehe 2 April, 2015 Na mpaka sasa Fomu za usaili, hazijatoka sasa kila kijanaa anapata wasiwasi nikitu gani kinaendelea, na je ni vitu gani vinavyofanyika mpka kufikia hatua ya kucheleweshwa kutoka kwa form hizo?? Nadhani inabidi ifike mahala pawe na taarifaa nini kinaahitajika kwasababu wadogo zetu wanazihitajii nafasi hizo ila bado kuna Giza nene la sintofahamu pale wilayani Arusha,

Ahsanteee.
 
Back
Top Bottom