hizi zote story tu...hakuna mwenye uhakika wa nafasi hizi...jamaa yangu ambae yupo kikosi cha rada ana diploma,pamoja na wengine ndo kwanza wamekusanya vyeti kwa ajiri ya usaili wao...na mpk sasa hawajaitwa.....nyie wa nje ambao hata mgambo hamjapita itakuwaje....
acheni story za kusadikika hapa.......nimeongea mpk na watu wa makao mpk sasa ajira za jeshi za maafsa ni kitendawili hapo ni muujiza...kama zikitoka wale wenye masomo ya ART mna kazi ngumu...safari hii wameenda wengi sana.
JKT mpk mwezi wa NNE ila ni kwa form 4 na STD VII.....