Jkt ipo kama kawaida......!!

Gvt haijajipanga kwa hili swala la jkt najua inawauma sana cc tuliobaki kutokwenda ni wametukosa waliowapata wamewapata wacha tuwahiiii bata chuoniii
 
Gvt haijajipanga kwa hili swala la jkt najua inawauma sana cc tuliobaki kutokwenda ni wametukosa waliowapata wamewapata wacha tuwahiiii bata chuoniii

kumbe wewe unawahi chuoni kula bata?
pole sana
 
Chuo inawezekana ni mwakani mwezi wa 9 maana kama kuna awamu nyingine that means itamaliza mwezi wa tano mwakani, bora niliyesoma enzi hizo.
 
Tatizo c kwenda jkt tatizo wanatuchanganya..mfano,Tumain Makumira wanadai chuo kinafunguliwa tar30,sept..na jkt awamu ya3 ni sept ==>,sasa sijui itakuwaje???
 
hiyo jkt ataenda yy,katibu wk na mkewe,me chuo udom nalipot tar 13 october, jkt mm nimeshai delete kwenye kichwa changu
 
Back
Top Bottom