Kila la kheri wadogo zangu.......!
Kweli mkuu, hii ni moja ya changamoto watakazo kumbana nazo ila hawana budi kuzishinda na kusonga mbele.Huyo dada atapona "tamaa" za afande ...? Maana nakumbuka enzi hizo, afande akimtaka binti mzuri na akagomewa basi atampa adhabu za mara kwa mara akitarajia kuwa binti atabadili msimamo!
Ila wapo waliovumilia adhabu hizo na wakamaliza "salama" yaani bila kwenda "Mkokoa Guest House"
Hatukua na nia ya udanganyifu, ni picha tu na maelezo kwani zoezi lenyewe linaanza tarehe Mosi mwezi Machi....! Aksante kwa kuliona hilo pia.JKT wameanza lini kuvaa kombati za mabaka mabaka! Unapodanganya uwe na uelewa mkubwa wa kile unachotaka kudanganya.