JK yupo Loliondo

JK yupo Loliondo

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
483
Kuna tetesi kuwa JK alipokuwa Ufaransa alidondoka mara mbili,nasikia amerudi bongo kimya kimya na sasa ameenda kwa babu kule Loliondo ili apewe tiba ya ugonjwa wake wa kudondoka dondoka ovyo.
 
JK hawezi kwenda kwa babu wa chadema:rain:
 
kwel ni majungu fm cz nijuavyo mimi Jk alpoenda kufukua nyayo ndo alienda kwa babu loliondo, sa vp aende tn? Au dawa hazijamsaidia. Kwa taarifa yake babu hatoi dawa mara 2. Uknywa ucpopona huna bahat. Acheni majungu bana Jk ndye kiongoz wa kwanza kwnda kwa babu!
majungu fm
 
ni kwel ila alienda muda kidgo co leo, jana, wala juz. Km ulmwna tbc1 kwny hbr akfukua nyayo ndo wik hyo hyo alpita na kwa babu.
Je ni kweli? au just gossip?
 
uko sawa kabisa yan ni kama ambavyo Dr wa ukwel Slaa hawez kwenda kwa babu wa CCM SHEIKH YAHYA! Huko anaendaga Jk 2.

JK- shee yahaya
Dr wa ukweli- loliondo
i like that
 
03_11_c6qp5w.jpg

Rais Jakaya Kikwete bado yupo France anapiga kabobo kama mnavomuona hapo mnamsingizia
 
03_11_c6qp5w.jpg

Rais Jakaya Kikwete bado yupo France anapiga kabobo kama mnavomuona hapo mnamsingizia

Hayuko France. Alishaondoka siku nyingi.

GO9G8038.JPG

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Idriss Deby wa Chad muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati maalumu ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Umoja wa Afrika(AU) ya kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Ivory Coast. Kamati hiyo ilikutana mjini Nouakchott Mauritania chini ya uenyekiti wa Rais Mohamed Ould Abdel Aziz(kushoto) wa nchi hiyo.Wengine katika picha ni wajumbe wa kamati hiyo Rais Blaise Compaore wa Burkina Fasso(watatu kushoto) na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini (wane kushoto). Hii taarifa iliwekwa March 3 2011

Source: Ikulu Mawasiliano.
 
Babu katika Chadema ni Silaa tu, kuna Babu mwingine chadema? Labda na Arfi au Mamluki Shibuda? Duh, kuna kale kengine nimekasahau karafiki cha babu yangu, Ndesa.
 
Babu katika Chadema ni Silaa tu, kuna Babu mwingine chadema? Labda na Arfi au Mamluki Shibuda? Duh, kuna kale kengine nimekasahau karafiki cha babu yangu, Ndesa.
Na Prof. Baregu utamuweka kundi gani?
 
kwel ni majungu fm cz nijuavyo mimi Jk alpoenda kufukua nyayo ndo alienda kwa babu loliondo, sa vp aende tn? Au dawa hazijamsaidia. Kwa taarifa yake babu hatoi dawa mara 2. Uknywa ucpopona huna bahat. Acheni majungu bana Jk ndye kiongoz wa kwanza kwnda kwa babu!
Kumbe yeye alienda muda mrefu!!!
 
Back
Top Bottom