Body language . . . .
compare na last meeting: August 2012
Kila mtu hapo anawaza kivyake tu,wanatabasamu lakini suala la ziwa nyasa linagonga vichwa vyao huku fitna na hasira zao zikielekezwa kwenye samaki wa ziwa hilo wanaomwagiwa sumu na kufa ovyo.Wanafiki wamekutana/
Mie nilishasema JK hua hana noma na mtu ni hawa majirani tu wanapenda kumchokoza
Mie nilishasema JK hua hana noma na mtu ni hawa majirani tu wanapenda kumchokoza
Wanafiki wamekutana/
I'm eagerly waiting to see the same when JK, will meet Kagame.