Jk@slaa walonga ndani ya ikulu

Jk@slaa walonga ndani ya ikulu

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
265
Reaction score
37
jk-slaa-uso kwa uso ikulu.jpg
Rais Kikwete akisalimiana na katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa Ikulu
jana usiku kwa mazungumzo muendelezo ya katiba mpya
Dhana ilionea ya Dr Slaa kumkwepa Rais Kikwete sasa kwishney
 
Inawezekana sijaiona.Si vibaya kuwepo na hii
ahsante kwa taarifa
 
Shukran Genekai.Hakika wewe uanjua sisi binadamu tuko tofauti
 
Nimelipenda sana jibu lako Dunda Kwetu. You are a wise person. Keep it up.
 
Back
Top Bottom