Jk: Polisi watendewe haki asiwajibishwe asiyehusika

Laptop01

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,365
796
Wanajamvi Salaam,

Nimemsikia Mkulu wa Nji hii ktk hutba yake ya Mwezi Sept,2012. Analonga, pamoja na maudhui mengine, kuhusu mauaji ya raia ktk mikutano ya vyama vya siasa. Ametolea mfano kifo cha Ndg. Mwangosi ALIYEUAWA KINYAMA na polisi.

Mkulu amesema ”POLISI WATENDEWE HAKI, ASICHUKULIWE HATUA ASIYEHUSIKA". Kwa ufahamu wangu wapiganaji hawa hawarindimishi risasi zao kwa lengo la kuua pasipo kuamrishwa na mkuu wao kufanya hivyo. Kauli hii inanipa picha kwamba Kaka Michael Kamuhanda sharti awaji bike kwa sababu ndiye anayehusika kwa maana ya kutoa MAELEKEZO/AMRI ya nini kifanyike kuhusu Mwangosi.

Sijui wanajamii mnalionaje hili?
 
Mkubwa awajibike? Sio kwa nji hii. The vice versa is true. Hapo jumba bovu litamwangukia mtekeleza amri na sio mtoa amri aslan!
 
Upolis si kutiii tu hata kama unaambiwa ujinga wakati we unajua kuua si sehemu ya kazi yako. Hii inaonyesha tuna polis wa aina gani polis walioenda CCp kwa mgongo wa undugu watafanya kazi kwa kiburi kwa kujua wapo wanaowalinda hawawezi kuwa na maadili kwa kuwa hizo kazi wamezipata kwa utaratibu usiofaa ukichunguza kwa makini utangua hata hao trafiki wanaolalamikiwa wanakula rushwa si wao wanatekeleza matakwa ya waliowatuma. hivyo hawaogopi kitu kwakuwa anaewawajibisha kawatuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom