Mzee Jakaya siyo wa kulaumu. Wasaidizi wake ndiyo wa kulaumu kwani ni matukio mangapi wameonesha kumuandalia vitu kwa kumuogopa, kujipendekeza (Mfano, kipindi anavunja baraza la mawaziri baada ya Mzee Lowasa kujihudhulu, aliwekewa kiti kifupi mpaka akalalamika), sasa na hii inaonekana waliojipendekeza hawakufahamu kuwa yeye ni mtu wa watu kiasi kwamba hata yeye akaona labda atawashusha ari endapo atawaambia toeni,