JK na Urais

shikamoo zomba :bolt:
:bolt::bolt:

Marhabaa bi snowhite, hujamba? nyumbani hajambo? haya, ukae kwa utulivu usianzishe fujo. If you mess with Mwali, you are messing with me big time.
:hatari:
 
Last edited by a moderator:
Nambie ndugu yangu. Nilikutag maksudi nikijua unaweza kua na hints.

Hah hah! Makusudi?! Anyway its long time!

Ngoja sasa nishuke verses!

Mimi nataka iwe hivi J K Mwali!!! Maana yake hapo umeshaupta u president kulingana na Theory yako. Yaani jina likianza na JK that means Prezdaa!!Lol Nafikiri hata The Boss itamvutia kuona another JKM

Ikiwa na maana AJ nakuja Ikulu nasema nataka kumuona President J K Mwali!! Najua wataniambaia Nimuone PM wako sina shaka atakuwa AshaDii, sitakubali , will want to see you maana this time lazima tumalizane!!

.. Nitakuuliza Mh JK Mwali why didnt you answer my PM wakati tukiwa bado wote kule JF!! Hah hah!! Nitasubiri jibu kwa hamu ...!!!
 
Teh shift gani na mke wa mtu aisee tena usiku wa manane! Lol

mkuu yuko leval ya akina barlow wao usiku ndio mda wao wa kuwinda vya watu mwambie aangalie wasijemtungua kama jamaa wa mwanza walivyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…