JK na Makamba juu ya Green chairs

JK na Makamba juu ya Green chairs

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
hii kali....mpaka makaburini wanazika na viti vya kijani!!

jk na makamba.JPG
 
Na JK kusisitiza kwamba yeye ni mtu mwenye kupenda madaraka ameamua kukalia viti viwili
 
Kwa nini wanaomba dua wamekaa? Dua si inaombwa kw heshima zote wima (naona nyuma yake wote wamesimama). Wamekaa kwa sababu;
1. ni wazee
2. hawaoni umuhimu wa kusimama
3. ni wagonjwa
??
 
Halafu Makambako kama anataka kucheka?!!! Kweli huu ni utovu wa heshima!
 
Back
Top Bottom