<br />Kuvaaa lapa na kufuga ndevu ni sehemu ya ibada kwa islam?
he is free for any form of former and latter albeit not for a premice allocation nor selling of naturals vs tz
Ni suna iyo.Kuvaaa lapa na kufuga ndevu ni sehemu ya ibada kwa islam?
Nadhani siku hii alikua na nyota ya nyuki maana shati lina maua mengi ya kuvutia nyuki.Jamaa huwa anavaa kwa kufuata nyota so rangi ya nguo anayovaa huendana na rangi ya nyota ya siku hiyo
Kwanini ameshika tumbo?
hahaaa haaaa masheukh wana vitambi hao...
Mara nyingi akiwa Ikulu na wageni anapenda kufanya hivyo fuatilia...sijawahi elewa kama ina maana sawa na kile kiti chake anachotembea n acho mara kwa mara..
Kuvaaa lapa na kufuga ndevu ni sehemu ya ibada kwa islam?
Nadhani siku hii alikua na nyota ya nyuki maana shati lina maua mengi ya kuvutia nyuki.
Kwanini ameshika tumbo?
<br /><span style="font-family: fixedsys"><font size="4">Nadhani siku hii alikua na nyota ya nyuki maana shati lina maua mengi ya kuvutia nyuki.</font></span>
Jamani, I stand to be corrected lakini hili Beach Shirt shirt alilovaa JK kama nilishawahi kuliona Wal-mart mwaka jana au mwaka huu (not exactly sure). Ni brand ya "George" na yanauzwa Wal-mart kila summer for 10 bucks or so. Kama ni kweli basi JK kumbe hana makubwa na hahitaji suti za Savile Row kama anaweza kuvaa shati la Wal-mart la dola 10 kwenye mkutano na Masheikh.
![]()
<br />Haya ndugu ujumbe wako umefika. Sasa tumejua kuwa ulikuwa USA mwaka jana au mwaka huu na uliingia kwenye duka la Walmat. Njia nzuri sana ya kujifagilia hii.