Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Jamani huyu mzee siku ya happy fathers day si anatakiwa awe na wanawe?
anngetembelea hata kituo cha yatima na kupiga nao stori moja mbili tatu na kuonyesha upendo kwa wanawe
Udom sio watoto wetu wale? hivi sisi ni wababa wa aina gani jamani?
Huyu mzee kweli tumeingia chaka kumpa nchi inawezekana alishaomba viza nchi nyingi akatoswa sasa hivi analipiza kisasi