JK na binti wa Bw Changula (R.I.P)

JK na binti wa Bw Changula (R.I.P)

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757


Rais Jakaya Kikwete akiwakabidhi Bw. Clement A. Chagula na bintiye Olivia A. Chagula medali kwa niaba ya baba na babu yao Marehemu Dkt. Wilbert Chagula, ambaye aikuwa ni mmoja wa mawaziri katika serikali ya awamu ya kwanza na mmoja wa watu maarufu waliotunukiwa nishani katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Bw Chagula, ambaye ni mtoto wa marehemu, hakuweza kufika Dar es salaam kupokea medali hiyo na Rais alipokuwa Kampala akatumia nafasi hiyo kumpatia leo asubuhi katika hoteli ya Speke. Commonwealth Resort
​
 
Mnyantuzu huyo oa halafu utaniambia, utalazimishwa kumfulia hadi 'kufuli' zake.
 
Kwa hiyo huyu waziri alikuwa Mganda?

...Mbongo na si mganda ila binti inaelekea anafanya kazi au anaishi huko Uganda. Haileweki kama kulikuwa hakuna ndugu mwingine wa karibu ambaye yuko Tanganyika angeweza kupokea nishani hiyo hadi msanii JK ikabidi asafiri nayo na kuikabidhi akiwa Uganda.
 
DR Wilbert Chagula,vice president wa kwanza wa university of dsm ni mtanzania,huyu binti anazaliwa na mtoto wa huyo DR,Mr Clement who has a Ugandan mum
 
Back
Top Bottom