JK Mrudishe Dr. Slaa Bungeni ili nchi itawalike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Mrudishe Dr. Slaa Bungeni ili nchi itawalike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Apr 28, 2012.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa Rais Wa Tanzania!
  Imefika wakti nakuonea huruma jinsi mzigo wa uongozi wa Taifa unavyokuelemea. Sababu za kuelemewa na uongozi wa Taifa ni hizi:-

  1. hukupata kura za kutosha kuongoza taifa hili ingawa tume ya taifa ya uchaguzi ilikutangaza mshindi
  2. umejikuta ukiongoza nchi kwa kufuata ushawishi wa Dr. Slaa badala ya kufuata Sera za Chama chako.
  3. Dr. Slaa ameonyesha uelewa mkubwa wa vipao mbele vya Taifa kuliko wewe ingawa umekaa kwenye mfumo wa kutengeneza Sera za Taifa kwa muda mrefu kuliko Dr. Slaa.
  4. Dr. Slaa amekuwa na muda mwingi wa Kuandaa hoja zake na kuziuza kwa wananchi akitumia lugha nyepesi inayoeleweka kirahisi kwa Watanzania kuliko wewe na chama chako.
  5.
  6.
  .
  .

  kama kuna mwenye nyongeza ya sababu nlizoainisha hapo juu, tafadhali orodhesha ili tumpelekee JK tayari kwa kumteua Rais Mtarajiwa aendelee kuwa bungeni.

  KUTOKANA NA TISHIO HILI LA DR. SLAA, NAKUSHAURI UMTEUE KUWA MBUNGE ILI ASIWE NA NAFASI YA KUZUNGUKA NCHI NZIMA AKIUZA HOJA ZAKE KWA WANANCHI KWANI ANAUSHAWISHI MKUBWA KULIKO WEWE. UTAKAPOMUWEKA BUNGENI HATAKUWA NA NAFASI PANA KAMA ILIYONAYO SASA
   
 2. T

  Tata JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,732
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Tatizo soyo dokta Slaa bali ni ombwe la kiuongozi la chama tawala.
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa kipi hasa kumpa ubunge mnapenda dezo nyie c angegombea arumeru
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  akagombee tu ninyi hamjamjua huyo ntu kuna siku mtatueleza kirefu km anaweza kaa ofisi moja na vijana, au dogo janja yoyote atakayembishia (Zitto, Shibuda)
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nani kakwambia CDM wanapenda vya kunyonga?
   
 6. M

  Murrah Senior Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK alidhani akipewa Dr atapata wisdom ya kujenga hoja kwa bahati mbaya hajafanikiwa 2, Amezungukwa na yes men PR team yake inaongozwa na watu wasiojenga hoja wanareact. 3 CCM na sera zake zimepitwa na wakati sana. 4 Watendeji kariibu wote wezi so Slaa anapoint tu na kila mtu anaona uchafu wa serikali na chama tawala.
   
 7. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  padri slaa nasikia ameajiri vijana kumuoshea kwenye mitandao
   
 8. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wa kwanza wewe gamba "mchawi umjua mchawi mwenzie"
   
 9. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Siku zote CCM na Dola hatudili na Mtu Mpuuzi na mpotefu kama Dr Slaa, hivi wewe ushangai Wazee wa umri wake wanalea Watoto yeye anatapatapa kulea mtoto wa miezi miwili kwa ruzuku ya chama uchafu gani huuu
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hii ni laana ya Ndesamburo alimwambia kikwete umenipiga mabo bila kosa lolote wakati hata wakati wakutafuta uhuru zidi ya mtu mweupe hatukupigwa mabomu leo kikwete unanipiga mabomu mimi ndesa nchi haitatawalika...kwa hiyo kikwete akamuombe msamaha ndesa
   
 11. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ukishauriwa na tapeli Dr Nchimbi utaishia wapi?
  Mtu asiye na creditibility katika uelewa wake anawezaje kuwa mshauri wa Rais?
  Watu wanazaliwa na Hekima maarifa ni kitu cha kujifunza.

   
 12. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  unajua maana ya kutawala?? Nani kakwambia nchi haitawaliki? Unajua tofauti ya kustawi na kutawala? Kama hujui misamiati ya kiswahili tumia ya kijijini kwenu watapatikana wakalimani. Nchi hii kwa sasa inatawalika na mbinu zote za kuifanya isitawalike zimesambaratishwa.Uzembe wa jk kutatua matatizo ya nchi hii hakuifanyi isitawalike bali unaifanya isistawi,ukitaka kujua nchi hii inatawalika kapange magogo barabarani kuzuia msafara wa viongozi then uje utujuze walichokufanya wale vijana wanaokuwa kwenye Defender nyuma ya gari ya viongozi!
   
 13. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Kweli bwana, umeongea sawa, lakini ukimnyooshea kidole mwenzako, ujue vingine vinne ni vyako...Kwani JK mtoto wake wa mwisho aliyezaa na mtoto wa ZAKHIA MEGJI anaumri gani vile? Na yule mkewe wa mwisho aliyeoa kutoka Tanga, ilikuwa ni lini vile? Tukumbushe basi, maana usiwe mwepesi kufuatilia ya wenzako, yako hauyajui. Shame on you GAMBA WEEEE!!!!
   
 14. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na ukitaka kujua viongozi Waasherati kama mfalme Mswati hapa Tz ni JK.Enzi za ujana wake palikuwa hapatoshi,hadi watu wamefungwa jela kwa 7bu ya Mademu....HERI MIMI NIWE PRESIDAA KULIKO ALIYEPO SASA MAGOGONI
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dr Slaa is no longer a parliamentary material. Kajipange upya!
   
 16. S

  Seacliff Senior Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Why do you think Dr. Slaa would want to take part in this administration? Hakuna faida yeyote kwa Dr. Slaa au mbunge yeyote wa CDM kukubali cheo kwenye hii administration ambayo iko njiani kwenda kwenye sewer. Kwa namna mambo yanavyokwenda CDM ina uhakika wa kuchukua dola 2015. Tanzanians will face 3 more years of suffering but the country will rise again. 2015 is not as far as it may seem!!
   
 17. w

  wamwala Senior Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dr. Slaa keshavuka stage ya UBUNGE ni presidential material. Na hata kama akirudi mjengoni bado mambo ni yaleyale coz umaarufu wake umekuwa mkubwa sana akiwa mjengoni pale alipotaja list of Shame katika viwanja vya Mwembeyanga.
   
 18. n

  nya2nya2 Senior Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona unawashwa,yaani aajiri watu kwa kosa gani alilofanya?nyie mnatumika na hao mabwana zenu magamba wanaowapa posho.
   
 19. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,279
  Likes Received: 2,076
  Trophy Points: 280
  hatuteui mtu sis!i mwache ale jeuri yake yeye si alikataa Kumtambua ingawa aligaragazwa kwenye uchaguzi Mkuu? kwanza anatakiwa apumzike yule ana matatizo mengi kwenye familia yake hayajakaa sawa na huu ndio muda wake sasa wa ku deal nayo!
   
 20. Josephine

  Josephine Verified User

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mtoto ni baraka toka kwa Mungu,ni vijana wangapi wanatafuta watoto bila mafanikio.

  Hata wazee waliotutangulia waliwahi kupata watoto late,Isaka ndani yabiblia alipatikana vipi?

  Siku zote,asiyejua maana haambiwi maana,kumbuka kila mtoto Mungu anamadhumuni nae let the purpose of God be fulfill to my child,Naenda kinyume na maneno yenu machafu yote yaliyotamkwa dhidi ya mtoto wangu na baba, yake,mpango wa Mungu juu ya maisha yao lazima utimie.

  Naamuru maneno mabaya yote yamrudie atakae andika na kuyatamka popote pale.
   
Loading...