JK Mrudishe Dr. Slaa Bungeni ili nchi itawalike

JK Mrudishe Dr. Slaa Bungeni ili nchi itawalike

mtoto ni baraka toka kwa Mungu,ni vijana wangapi wanatafuta watoto bila mafanikio.

Hata wazee waliotutangulia waliwahi kupata watoto late,Isaka ndani yabiblia alipatikana vipi?

Siku zote,asiyejua maana haambiwi maana,kumbuka kila mtoto Mungu anamadhumuni nae let the purpose of God be fulfill to my child,Naenda kinyume na maneno yenu machafu yote yaliyotamkwa dhidi ya mtoto wangu na baba, yake,mpango wa Mungu juu ya maisha yao lazima utimie.

Naamuru maneno mabaya yote yamrudie atakae andika na kuyatamka popote pale.

Dear Mama

Kwa kufahamu kwamba you are the coming first lady naomba uwasamehe bure......zaidi nimevutiwa na response yako kwenye hili....

Naamini chini yako pamoja na Mzee(Slaa) tanzania will have the desired leadership....

ENDELEA KUFANYA MAANDALIZI...

KWA KWELI NIMEVUTIWA NA WEWE KWA MARA YA KWANZA KWA HIYO COMMENT
 
unajua maana ya kutawala?? Nani kakwambia nchi haitawaliki? Unajua tofauti ya kustawi na kutawala? Kama hujui misamiati ya kiswahili tumia ya kijijini kwenu watapatikana wakalimani. Nchi hii kwa sasa inatawalika na mbinu zote za kuifanya isitawalike zimesambaratishwa.Uzembe wa jk kutatua matatizo ya nchi hii hakuifanyi isitawalike bali unaifanya isistawi,ukitaka kujua nchi hii inatawalika kapange magogo barabarani kuzuia msafara wa viongozi then uje utujuze walichokufanya wale vijana wanaokuwa kwenye Defender nyuma ya gari ya viongozi!

Kuna tofauti kubwa kati ya msafara kupita na nchi kutawalika. Sasa hivi ikulu kuna moto, kila siku wanasubiri mwongozo wa cdm ili watekeleze.
Mbona hata katika nchi ambazo rais kaponduliwa bado hupitishwa na kutoroshwa?
 
Siku zote CCM na Dola hatudili na Mtu Mpuuzi na mpotefu kama Dr Slaa, hivi wewe ushangai Wazee wa umri wake wanalea Watoto yeye anatapatapa kulea mtoto wa miezi miwili kwa ruzuku ya chama uchafu gani huuu

Kwani na wewe upo kwenye ukoo wa lusinde?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya msafara kupita na nchi kutawalika. Sasa hivi ikulu kuna moto, kila siku wanasubiri mwongozo wa cdm ili watekeleze.
Mbona hata katika nchi ambazo rais kaponduliwa bado hupitishwa na kutoroshwa?

huelewi tofauti ya hoja na mfano ktk hoja ya msafara ni kukuelewesha jinsi ya ingredient za kutawala 'inforce power' zinavyofanya kazi,kama nchi inaongozwa kwa miongozo ya CDM sasa mikelele ya kuilaum CCM inatoka wapi?? Kinachowachanganya ni kushindwa kutofautisha kati ya kutawala na kuongoza,nenden jando la kisiasa kabla ya kuzungumza msichokielewa,kama unaufahamu lete hapa ingrediet za kutawala tuone ipi haipo Tz,nchi kwa sasa haina kiongozi sio Mtawala !!
 
Unatueleza nini kuhusu Alhaj Ali Hasan Mwinyi kuoa mtoto wa Form three ilhali yeye ana miaka ipatayo sabini? huo ni usafi?

Back
Top Bottom