JK kwenda kumpokea Prof. Lipumba

afadhari, labda hiyo title itamsadia kwenye kampeni za uchaguzi ujao (kama chama chake kitakuwepo na akapitishwa)
 
ah

Sahihi kwenda kumpokea, na akisha kumpokea amtoe Mkulo ampe uwaziri wa fedha Lipumba labda italeta tija, maana tuseme ukweli hali ni mbaya!
 
Sifa nyingine za ajabu kweli, mwenyekiti wa maprofessa wa uchumi duniani kutoka kwenye nchi yenye uchumi gani?

Hawa wazungu wanatutafuna kweli kwa ujinga wetu, wazungu huwa wanatoa sifa kama hizo kwa malengo maalum, huwa wanasifia ujinga wa mwafrika zaidi.lol
 

kwanza Prof Lipumba hakuteuliwa kuwa M/kiti wa maprof wa uchumi Duniani.hapo umekosea mkuu

Prof alipata nafasi hii [h=3]“Building Institutional Frameworks that Support Democracy and Economic Development in Tanzania”
Reagan Fascell Democracy Fellow: Oct 2011 - Feb 2012[/h]nadhani kitakachpfanyika ni kumwalika Prof kwenda Ikulu kuonana na Mkulu
 

sikubaliani na wewe mkuu

mfano wako ni kama humkubari Prof lipumba,lakini kiukweli Prof lipumba ndie aliweza kusogeza uchumi wa Uganda pale ulipo,si mtu wa kawaida ktk maswala ya uchumi kama ufikiliavyo

lakini pia hata ktk ile fellowship aliyoipata sio kwamba wazungu walimteua yeye kwa kuangalia Utanzania,hapana alifanya presentation iliyojumuisha zaidi ya watu 500 na hatimaye walichaguliwa watu kadha wasiozidi 20 na prof akiwemo
 
akimpokea ni jambo jema kwani na yeye ni mtanzania halisi, asipompokea atakuwa mnafiki hata hivyo maprofesa wetu hawatusadii kitu
 
Mnnnh! nasikia pia alikuwa mshauri wa Uchumi wa Mwinyi (SAP) au sio kweli?
 
Alikuwa mshauri wa Mwinyi na pia Mkapa kwa kipindi flani kama sikosei.

Kama waliangalia achievements zake, basi bado sishangazwi, ndo kazi zao kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kwani hata Mkapa si walimsifia kuwa uchumi ni mzuri na unakuwa wakati wananchi mambo ni mbaya hadi wakamwita kuwa ni "Mtu /Rais aliyewatoa kapa" kwa ukata?

Madhali ushauri alioutoa ndo umetufikisha hapa, basi sioni shaka kama wakimpeda.
 

Inaelekea una source nzuri ya info..maana hata tarehe ya kurudi bw. lipumba unayo sasa weka kila kitu jamvini tujue ili na sisi wananchi tukampokee
 
JK akimpokea Lipumba basi kuna watz tu wengi itabidi wawe wanapokelewe na Rais incl. mimi
 
Weee kelelee huko ka swali.... kelelee.... unaandika madudu dudu huku....wacha kutoa sifa sifuri hapa...


 

kwann isiwe sahihi??
 
Mbona hii nzuri tuu, tuweke chama chake pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…