ahBaaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
Ingawa kuna utata wa JK kumpokea kiprotocol, ila jamaa ni Prof wa ukweli, sema SIASA tu za kiafrica ila ilitakiwa serikaliimtumie Prof.
cheki cv yake hii inavyotisha, kisha fananisha ya wachumi wako wa TZ wa kubahatisha.
http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
Sifa nyingine za ajabu kweli, mwenyekiti wa maprofessa wa uchumi duniani kutoka kwenye nchi yenye uchumi gani?
Hawa wazungu wanatutafuna kweli kwa ujinga wetu, wazungu huwa wanatoa sifa kama hizo kwa malengo maalum, huwa wanasifia ujinga wa mwafrika zaidi.lol
Hivi, kati ya habari na chanzo huwa unaamini kipi?
Mnnnh! nasikia pia alikuwa mshauri wa Uchumi wa Mwinyi (SAP) au sio kweli?sikubaliani na wewe mkuu
mfano wako ni kama humkubari Prof lipumba,lakini kiukweli Prof lipumba ndie aliweza kusogeza uchumi wa Uganda pale ulipo,si mtu wa kawaida ktk maswala ya uchumi kama ufikiliavyo
lakini pia hata ktk ile fellowship aliyoipata sio kwamba wazungu walimteua yeye kwa kuangalia Utanzania,hapana alifanya presentation iliyojumuisha zaidi ya watu 500 na hatimaye walichaguliwa watu kadha wasiozidi 20 na prof akiwemo
Alikuwa mshauri wa Mwinyi na pia Mkapa kwa kipindi flani kama sikosei.sikubaliani na wewe mkuu
mfano wako ni kama humkubari Prof lipumba,lakini kiukweli Prof lipumba ndie aliweza kusogeza uchumi wa Uganda pale ulipo,si mtu wa kawaida ktk maswala ya uchumi kama ufikiliavyo
lakini pia hata ktk ile fellowship aliyoipata sio kwamba wazungu walimteua yeye kwa kuangalia Utanzania,hapana alifanya presentation iliyojumuisha zaidi ya watu 500 na hatimaye walichaguliwa watu kadha wasiozidi 20 na prof akiwemo
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
Baaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila serikali kutoa pongezi kwa prof.lipumba juu ya uteuzi wake wa kuwa m/kiti wa maprofesa wa uchumi duniani baada ya kuwashinda zaidi ya maprofesa 555 duniani na akiwa mwafrika peke yake, raisi kikwete ameamua kwenda kumpokea prof.lipumba tarehe 11/3/2010 ktk uwanja wa ndege wa j.k.nyerere. Je hii ni sahihi?
mnaumia sana hata kagame kampongeza lipumba