JK kuwasha mwenge Mbeya

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
kuna tetesi mbeya kwamba mwenge wa uhuru utawashwa mwaka huu mbeya katika taasisi ya sayansi na tekinolojia na ataye washa ni mzee wa chalinze JK. baada ya kupumulia mashine kwenye uchaguzi kaamua kuwapoza watun wa mbeya kwakuwasha mwenge pale na kutangaza rasmi MIST kuwa chuo kikuu cha MUST yaani Mbeya University of Science and Technology.
 
Uzuri wake akija mbeya,hawezi kuhutubia,akiwasha jini lake huyoooooo.sijui atapita njia gani kwenda mist maana tuna hasira naye.bora asije au aje kabla ya maandamano ya cdm tarehe 4 may
 
Back
Top Bottom