JK Kutangaza wakuu wapya wa Mikoa?

Status
Not open for further replies.
Hakuna haja ya kuwa na hawa watu wakuu wa wilaya na mikoa.wanaongeza ghalama na hawana faida.huu ni mfumo wa wakoloni walioutumia kututawala kirahisi.

Watu wengi wenye akili wamekuwa wakihoji..nn kazi ya wakuu wa wilaya na mikoa? Ukifatilia kiundani utagundua hawana kazi yoyote ya maana zaidi ya kuongeza gharama. Toka uchaguzi uishe mpaka leo JK hajateua wakuu wapya wa wilaya na Mikoa. Hiyo inatudhihirishia kuwa hawa jamaa ni mzigo tu, wangekuwa muhimu rais asingeweza kukaa mpaka leo (almost a year) bila kuappoint hawa watu. Hii kada ifutwe. Najua magamba hawawezi kufanya hivyo, hii ni rai yangu kwa CDM tutakapochukua nchi mwakani baada ya nguvu ya umma kuyatoa magamba madarakani.
Mkwerre anaweza kuwa kavunja katiba. Katiba ya JMT inasema wazi kuwa kutakuwapo na RC's na DC's watakaochaguliwa na Rais. Sasa kutokuchagua si kwenda kinyume na katiba?

ukimya wa mkuu wa kaya pale feri magogoni juu ya kuteua wakuu wa mikoa na kuiacha baadhi ya mikoa kama dar iikiwa haina mkuu wa mkoa utia shaka, nyota ndogo nimegundua.

pengine mkuu wa kaya anaona viumbe hawa ni mzigo kwa taifa? kwa sababu kila mko una wilaya zake na kila wilaya ina mkuu wake...sasa mkuu wa mkoa wa kazi gani? kuna RPC kuna vyombo vya ulinzi na kadhalika. sasa mkuu wa mkoa plus shangingi wa kazi gani?

nadhani mkuu wa kaya anaweza kuacha legacy hii kwetu: kwamba aliawachana na sera ya kuteua wakuu wa mikoa. hii itadhibiti matumizi makubwa ya gavamento na kwa hiyo kuwa faida kwa wananchi wanaoishi kwenye umasikini uliokithiri.

lakini kama ukimya huu wa mkulu unatokana na kushindwa kuamua nani ampeleke wapi basi hii ni problem maana mkulu naye ni hodari wa kupachika watu 'awapendao' kwenye vitengo. labda mkulu ameamua bora wakose wote.

nawakilisha.

aahh awamu hii inatisha kabisa walivyokimbilia ikulu sijui walijua kuna biashara gani!!sasa hawalali na wanajuta na bado kushitalkiwa lazima maana uozo wao utaanikwa soon wakitoka tu

Mhmm hakuna mkoa hauna Mkuu wa Mkoa acheni masihala hapa.

Nani kakudanganya kuwa Wakuu wa Mikoa wanatakiwa kubadilishwa kila baada uchaguzi?

Ukuu wa Mikoa... VIPI Wakuu wa Wilaya? Mfano Mzuri Mkuu wa Wilaya ya GEITA... Fisadi Mzuri kweli hana kazi ya kufanya ni kujilimbikizia Mali

ukimya wa mkuu wa kaya pale feri magogoni juu ya kuteua wakuu wa mikoa na kuiacha baadhi ya mikoa kama dar iikiwa haina mkuu wa mkoa utia shaka, nyota ndogo nimegundua.

pengine mkuu wa kaya anaona viumbe hawa ni mzigo kwa taifa? kwa sababu kila mko una wilaya zake na kila wilaya ina mkuu wake...sasa mkuu wa mkoa wa kazi gani? kuna RPC kuna vyombo vya ulinzi na kadhalika. sasa mkuu wa mkoa plus shangingi wa kazi gani?

nadhani mkuu wa kaya anaweza kuacha legacy hii kwetu: kwamba aliawachana na sera ya kuteua wakuu wa mikoa. hii itadhibiti matumizi makubwa ya gavamento na kwa hiyo kuwa faida kwa wananchi wanaoishi kwenye umasikini uliokithiri.

lakini kama ukimya huu wa mkulu unatokana na kushindwa kuamua nani ampeleke wapi basi hii ni problem maana mkulu naye ni hodari wa kupachika watu 'awapendao' kwenye vitengo. labda mkulu ameamua bora wakose wote.

nawakilisha.

Jk nahisi anakiuka katiba kwani bado haijabadilishwa anatakiwa ateue wakuu hao haraka

wazee wote wenye zaidi ya miaka sitini hawapo kwenye list.watakaorudi tena wapo kama sita tu!ma dc watakaopanda wapo kama 5.........watakaobaki wote ni wapya!
huenda na wewe upo!!!!

Hivi terms zao za kiunua mgongo kwa kipindi hiki kilichoongezeka baada ya kumaliza miaka mitano na kuact kwa zaidi ya mwaka sasa inakuwaje?

Sht¥,.§!"
kabisa,hivi hamuon wanaovua chupi wamepigwa chini ubunge majimboni? Mkuu wa kaya anahofia kuwarudisha, wananchi watamdhihaki

taarifa nilizozipata kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba orodha ya wakuu wa mikoa tayari imeshaandaliwa!
Wale ma rc waliodondoka kwenye majimbo wote imekula kwao,
wale wote ambao ni wabunge hawatapata u r.c kwani hakuna kofia mbili.
Kuna ma dc vijana ambao wamefanya vizuri katika wilaya zao watapata promosheni
kuna ma rc watakao pumzishwa kwa sababu ya umri
wale wabunge waliopoteza majimbo katika uchaguzi mkuu wote hakuna huruma ya kupozwa u r.c walie tu
hata hivyo kuna waliotajwa kupata u rc kama vile mzee tibaigana,rainfred nasako,mama jannet mbenne,aisha kigoda na erick shigongo
habari zaidi nitawaletea!
sasa tuletee habari mpya kama zipo !!!

Namkubali Dc wa Karagwe Fabian Massawe, urc ni saizi yake kwani ameonyesha uwezo mkubwa wa kuiongoza wilaya.

taarifa nilizozipata kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba orodha ya wakuu wa mikoa tayari imeshaandaliwa!
wale ma rc waliodondoka kwenye majimbo wote imekula kwao,
wale wote ambao ni wabunge hawatapata u r.c kwani hakuna kofia mbili.
kuna ma dc vijana ambao wamefanya vizuri katika wilaya zao watapata promosheni
kuna ma rc watakao pumzishwa kwa sababu ya umri
wale wabunge waliopoteza majimbo katika uchaguzi mkuu wote hakuna huruma ya kupozwa u r.c walie tu
hata hivyo kuna waliotajwa kupata u rc kama vile mzee tibaigana,rainfred nasako,mama jannet mbenne,aisha kigoda na erick shigongo
habari zaidi nitawaletea!
Tumetajie na viburudisho waliowekwa tayari kwa ajili ya mzee wa bwaga moyo. Ni nafasi ya kuwapa tunzo!!!

Mkwerre anaweza kuwa kavunja katiba. Katiba ya JMT inasema wazi kuwa kutakuwapo na RC's na DC's watakaochaguliwa na Rais. Sasa kutokuchagua si kwenda kinyume na katiba?
Sidhani kama ni kosa...Navyoelewa mimi hakuna kipengele cha sheria kinayomlazimu rais aliyeko madarakani kubadilisha wakuu wa mikoa na wilaya kwa kila awamu ya miaka mitano. Rais anaweza kuwaacha wakuu hao ktk wakati wote wa Uongozi wake.ni. Na zaidi ya hapo rais anayetumikia wamu ya pili anaweza kuwaacha Mawaziri wake wa awamu ya kwanza kuendelea na nafasi zao bila kufanya mabadiliko. Ila rais anaweza kubadilisha baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya wakati wowote anapoona kuwepo sababu na haja ya kufanya mabadiliko hayo..

LEO JF TUMECHEMSHA MAANA HATA KIBONDE AMEWAHI KUTOA MAJINA YA WATEULE KABLA YA JF: BRAVO HOMEBOY MWAMBUNGU ILA SIJAPENDA UTEUZI WA STELLAH MANYANYA! AMEJIPENDEKEZA SANA BUNGENI! Unafiki unalipa HUYU WA KILOMBERO KUWA RC. mwanza haijatulia

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom