JK kutangaza baraza la Mawaziri kesho

JK kutangaza baraza la Mawaziri kesho

Status
Not open for further replies.
J.Makamba...kilimo chakula na ushirika
Migiro...Afrika mashariki
Sitta...ulinzi
Mwakyembe...Tamisemi
Filikunjombe...uchukuzi
Kigoda....Fedha na uchumi
Prof. Kabudi Elimu na ufundi
Prof. Mwandosya...Utumishi
Mwanri...ujenzi
Dr. Magufuli....maliasili na utalii
Dr. Kitwanga....mifugo na uvuvi
Dr. Tizeba.....mambo ya ndani
Dr. Nagu...viwanda na biashara
Prof. Maghembe....maji
Prof. Muhongo....madini
Membe...mambo ya nje
Prof Tibaijuka....makazi
Prof. Mbawala....sayansi na tecknolojia
 
wanakera sana watu wanaokurupuka kuleta habari wanazowaza wakiwa wanakata gogo

si usubiri tu JK atangaze, why all these rubbishes?
 
hiyo kitu ni kweli wakuu kesho kitu hewani
ingawa haitakuwa na impact yoyote lakin watu wanataka kujua akina nani wamekabidhiwa dhamana ya kuwatumikia kwa kipindi kilicho baki kabla ya uchaguzi mkuu mwakani

sina hakika kama wanatutumikia nadhani sisi tunawatumikia !!!
 
Acheni kukesha bar mnakunywa halafu mnatuletee ndoto za ajabu kama hizi wakuu hii mizaha sasa.
 
Mwigulu akipewa polisi.... sijui
 
It sounds ok....maana atawatoa wapi kama si kapu lilelile? Ila hapo kwenye elimu (.....)
 
mbona tumesha ona tunaweza kuishi bila mawaziri! kuliko kutuletea hiyo mizigo ni bora asiitangaze mpaka muda wake utakapo kwisha mwaka ujao.
 
J.Makamba...kilimo chakula na ushirika
Migiro...Afrika mashariki
Sitta...ulinzi
Mwakyembe...Tamisemi
Filikunjombe...uchukuzi
Kigoda....Fedha na uchumi
Prof. Kabudi Elimu na ufundi
Prof. Mwandosya...Utumishi
Mwanri...ujenzi
Dr. Magufuli....maliasili na utalii
Dr. Kitwanga....mifugo na uvuvi
Dr. Tizeba.....mambo ya ndani
Dr. Nagu...viwanda na biasharaZtecknolojia[/rQUOTE]

UMEKOSA SANA KUMRUDISHA MAGHEMBE
 
Watu wengine!!
Hivi huwa mnazipa uhuru akili zenu kufanya kazi au huwa mnazi ingilia katika majukumu yake ili kufurahisha mioyo yenu?
Kabla hujaweka hayo majina, je, ulijiuliza kama hili ndiyo baraza zima? Hukujiuliza vipi kuhusu wizara nyingine?
 
"Abiria chunga mzigo wako kaka mwananyamala Posta eh manzese kariakoo tandika shimo la uhuru mama ogopa kanyaboya"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom