JK kutangaza baraza la Mawaziri kesho

JK kutangaza baraza la Mawaziri kesho

Status
Not open for further replies.
kama kweli mwigulu atapewa iyo wizara nategemeeni machafuko makubwa ya kisiasa nchini mana akiwa tu upande wa chama alikua na nguvu ktk polisi sasa je akipewa iyo wizara si itakua majanga ya nchi, busara uyu jamaa hana ana siasa za mrengo wa kushoto.
 
Kama ngeleja kajirekebisha mwache aje..wizara ningumu. Kwa wazir anaeruhusu kutumiwa haimfai. Ingependekezwa awe sitta au mwakyembe,wasiojua kupepesa macho wala kuwa namlengo wwte..
 
Wakuu,

Hizi habari japo nimeanza na tetesi, lakini ni ukweli kwamba Chama Cha Mapinduzi kimemwandaa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kuchukua nafasi ya marehemu Dr. William Mgimwa, waziri wa Fedha aliyefariki hivi karibuni.
Habari hizi zimezagaa sana mjini Iringa na viunga vyake, hakuna jina jingine linalozungumzwa, na pia wakati tofauti Philip Mangula amesikika akisema Kandoro ndiye atakayesimama kwa ccm.

Kwa upepo ulivyo ni dhahiri CCM wamechanganyikiwa, maana hata 40 ya msiba wa Dr. Mgimwa haijapita wao wanawaza kuziba pengo la marehemu, yaani utadhani wao ndiyo wanaofurahia kuondoka kwa kiongozi huyu muhimu ambaye maisha yake hayana tofauti na mtanzania wa kawaida, hakuwa amejilimbikizia mali hata kidogo.
 
CCM wanawaza posho tu washenzi kweli.
Mtu amezikwa juzi wanawaza jimbo!
 
Soma threat ya CDmhub utaona yalivoporomosha matusi utadhani ametoka kwenye ulanzi
 
kama kweli mwigulu atapewa iyo wizara nategemeeni machafuko makubwa ya kisiasa nchini mana akiwa tu upande wa chama alikua na nguvu ktk polisi sasa je akipewa iyo wizara si itakua majanga ya nchi, busara uyu jamaa hana ana siasa za mrengo wa kushoto.
ni kweli mkuu, kikwete akimteua mwigulu kuwa waziri nitaamini tanzania haina rais kamwe!
 
Hivi Mtu Kama Mary Nagu tangu awe waziri ameanZa lipi la kusifika??? MZIGO USIO VUMA HUU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom