Ee Mungu tuepushe na hilo balaa Mwigulu asiwe waziri was mambo ya ndni.!
Hata mimi sipati picha huyu jamaa akipewa hiyo Wizara tumekwisha kama Kuku. Mungu aepushe tena kwa nguvu zote maana.
Ee Mungu tuepushe na hilo balaa Mwigulu asiwe waziri was mambo ya ndni.!
Mkuu hiyo kitu haiwezekani!!
Taarifa zilizonifikia kutoka kwa baadhi ya wajumbe wakamati kuu ya ccm waliokutana chini ya uenyekiti wa rais jakaya kikwete leo
mh.jk anatarajia kutangaza baraza jipya hapo mnamo saa 4 asubuhi
miongon mwa majina ambayo yamekuwa ya kitajwa katika baraza hilo jipya ni pamoja na mh.
1.jenister muhagama
2.mwigulu l. mambo ya ndani
3.Asha migiro elimu