JK kurudi Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kurudi Mbeya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyambala, Oct 27, 2010.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Napata habari hapa sasa hivi kutoka CCM Mbeya ni kwamba JK atakuwa huko tena kwa kampeni Siku ya Ijumaa. Du! yaani kweli jamaa sasa anaweweseka, yaani kusikia Slaa atakuwa huko tayari homa imepanda!
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  Anahangaika sana mwambie Slaa anarudi tena Mwanza.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aiseee asije akaanguka tena akashindwa mpigia kura Dr Slaa
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Sikio la kufa.....
  Mgonjwa mahututi akiomba maji ya kunywa......
  Kifo cha Nyani .........
  Kifo cha Mende.......

  Kwa sisi wataalam wa SOKA uchaguzi huu tunasema CCM na JK wamepigwa inaitwa COUNTER ATTACH na dakika ndiyo hiyo ya 92 na sekunde 50. (Bado sekunde 10 tu za muda wa nyongeza kuisha)

  Giza limetanda JK kabidhi nchi watu wahakutaki. Tunangojea kushangilia ushindi wetu wa uhuru wa watanganyika 2010.

  Hima himaaaaaaaaaaaaa.........................
  Hima Himaaaaaaaaaaaaa.........................
   
 5. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sasa mkuu anahangaika nini? Nakumbuka Katibu mkuu wake Mh. Makamba alisema uchaguzi wa mwaka huu ni mteremko na CCM haina mshindani kwa sababu JK katika awamu yake hii ya kwanza katimiza ahadi zake zote na wananchi wanajua!!

  Angalia mkuu, Mbeya si Mtwara...ulipoahidi kuwa kitovu cha viwanda (wakati hata DSM hakuna viwanda kustahili kuitwa kitovu)......pagumu pale!! Hawadanganyiki wakazi wa Mbeya, umesahau ulipoonyeshwa alama za chadema kila ulipopita mkoani Mbeya?
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaaaaaaa!

  Siku hizi ukitaka kumjambisha (kama wanavyofanyiwa wazee wa Pwani) JK unafanya kama hivi:

  Kwanza unamvizia, Badala ya kufanya pruuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!, unasema Slaaaaaaa!!!

  Hakika utamuonea huruma.

  Kwa hiyo kesho watoto wa shule hawasomi tena huko Mbeya.
   
 7. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,223
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Hivi kwani ratiba ya kampeni watu wanaamua wenyewe au Vyama vinaamua kufanya mabadiliko vinapojisikia kufanya hivyo? Nilitegemea ratiba nzima ya kila chama iko NEC na hawezi kubadilishwa
   
 8. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua ligi yoote hii pamoja na gharama zoote walizotumia CCM, JK mwenyewe ndiyo ataongeza bao la tano na la ushindi kwa CHADEMA kwa kujifunga. Ni ile siku ya J'mosi tarehe 30 pale Jangwani, ataanguka tena!!!!!!
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni rahisi tu mkuu si anadandia ratiba ya mbunge
   
 10. d

  dotto JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hapa nilipo sina mbavu!!!!
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Aende na Mtwara baada ya Slaa kutoka huko kesho!!!
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya mambo yanamtisha!

  [​IMG]

  [​IMG]

  Joseph Mbilinyi akilonga na wananchi wa Mwanjelwa Mbeya katika mkutano wake wa Kampeni
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mpuuzi sana huyu jk

  akirudi mbeya harusi mzima
   
 14. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tujikumbushe methali:
  CCM mwenda kimya IKO FUNGWA GOLI NYINGI NA CHADEMA
  CCM akizidiwa IKO SINGIZIA MAUAJI MASWA.
  Mchumia MAFISADI iko Kula chakula kivulini UKONGA.
  Mtaka cha CCM sharti awe FISADI
  CCM usiyoijua ni KAMA HANDAKI LA GIZA
  n.k
   
 16. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Mie kaniuumiza mbavu kweeeeeeli kweli
   
 17. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...presha inapanda, presha inashuka...
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yaani we acha tu!
   
 19. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Ng'wanangwa,
  Hapa umenifanya nicheke.. ni ukweli mtupu kuwa jk anamwogopa sana sana Dr wa ukweli raisi Slaa.
   
 20. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,576
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  JK akubali tu kuwa Dr Slaa ni kiongozi wake, kila analosema anatekeleza, hivyo asione aibu kumpisha ikulu,
   
Loading...