Jk KUPEWA UDOKTA NA KILA KUKICHA-UDHAIFU AU UIMARA??

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,593
2,000
GreATtHinkErs,
LEts Tok-mimi kwa kweli natatizika. Nitoeni wasi wasi na huu Utitiri wa Udokta kwa JK
 
Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,501
0
Honour Awarded by Date of Award Reason for Award
 • Honorary doctorate degree in Law
Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota) September 2006 in recognition of his dedicated public service[3]
Dr Harris Mule, Kenyatta University December 2008 in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa[4]
 • Honorary doctorate in the science field of International Relations
Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih University February 2010 for promoting international relations between Turkey and Tanzania[5]
 • Honorary doctorate degree of Public Health
Muhimbili University of Health and Allied Sciences 11 December 2010 for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[6]

My TAKE: huyu baba anapewa tu madrigii ya filosofia. Sawa! Lakini hali halisi si inajulikana?
 
Attachments

 • Hali halisi ya watanzania walio wengi (1).jpg
  File size
  46.4 KB
  Views
  89
 • Hali halisi ya watanzania walio wengi (4).jpg
  File size
  92.9 KB
  Views
  76
 • Hali halisi ya watanzania walio wengi (2).jpg
  File size
  43.4 KB
  Views
  80
 • Hali halisi ya watanzania walio wengi.jpg
  File size
  43.4 KB
  Views
  72
 • Hali halisi ya watanzania walio wengi (3).jpg
  File size
  205.2 KB
  Views
  68

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
1,195
GreATtHinkErs,
LEts Tok-mimi kwa kweli natatizika. Nitoeni wasi wasi na huu Utitiri wa Udokta kwa JK

Jamaa anastahiki na ni haki yake kwa mambo mema aliyo ifanyia nchi hii. Kabla ya kumtunuku huwa wanasoma ule wasifu, utafute ule uusome ndipo utajua
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,694
2,000
Jamaa anastahiki na ni haki yake kwa mambo mema aliyo ifanyia nchi hii. Kabla ya kumtunuku huwa wanasoma ule wasifu, utafute ule uusome ndipo utajua
Hamna kitu. Huyu kafanya kuliko yupi kwa wale waliomtangulia? Shyyyyyyytttttttttt
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
1,195
Honour Awarded by Date of Award Reason for Award
 • Honorary doctorate degree in Law
Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota) September 2006 in recognition of his dedicated public service[3]
Dr Harris Mule, Kenyatta University December 2008 in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa[4]
 • Honorary doctorate in the science field of International Relations
Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih University February 2010 for promoting international relations between Turkey and Tanzania[5]
 • Honorary doctorate degree of Public Health
Muhimbili University of Health and Allied Sciences 11 December 2010 for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[6]

Bado ile ya UDOM mkuu
 
Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,501
0
Bado ile ya UDOM mkuu
mkuu hizo kitu hazimsaidi huyo baba wala mtanzania yeyote kwani hazifanyii kazi. Anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa tu. Tumechoka! Hivi karibuni utasikia tena kapewa nyingine! I bet you in less than 6 months! (may be)

Eti dr of public health. Unajua inauma sana!
 
andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
1,500
sua, ifm, mwa. nyerere,sokoine, dr kairuki..... hadi 2015 zitakuwa 25
 
Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,067
1,250
Gharama za siasa ni mbaya sana. Remember JK hapendeki kwa kada za watu wenye akili zao, meaning higher and lower academic institutions, working force katika cadre na office mbali mbali, middle and low class guys. Kifupi JK anakubalika kwa majority wasiosoma na wasio na uelewa waishio VIJIJINI awapao 5000 au T-Shirt na kupata gharama za hizo 5000/= na T-Shirt kwa miaka 5. Sasa what I am seeing, ni kama anawatumia hawa Vice Chancellors and Chancellors (remember yeye ndo appointing authority to those posts, Chancellor kumu-appoint Vice Chancellor ni geresha tu, kumbuka what happened kwa Mukandara) kumpa heshima ili katika uso wa walio na akili aonekane kumbe credibility yake inapanda tena. Something which is wrong and it's a failing and late tactic. Anakumbuka shuka/blanket wakati kumeshakucha. I am pity for him.
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,694
2,000
mkuu hizo kitu hazimsaidi huyo baba wala mtanzania yeyote kwani hazifanyii kazi. Anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa tu. Tumechoka! Hivi karibuni utasikia tena kapewa nyingine! I bet you in less than 6 months! (may be)
Huo udokta unamsaidia yeye na familia yake ya wakina Salma na Riz1
 
Nyumbu-

JF-Expert Member
May 26, 2009
987
500
Ukitaka kula na kipofu usimguse mkono: huyu jamaa wanamjaza hayo ma honorary kwa ajili ya kumfumba macho ili wajanja wapate kila kitu:
1) Wakenya wanahitaji kuwekeza hapa kiulaini, wakihamisha kila kitu. Hata mradi wa Malaria uliokuwa TZ kiwanda kimejengwa Kenya na hakuna anayeuliza. Utafiti ulifanyika TZ, faida iko Kenya. Na TZ sasa wametelekezwa kabisa ( Ref: Artemisia Annua Project in TZ)
2) Waturuki wanakuja kuwekeza kwenye mashamba ambayo tayari yana miundombinu including JKT
3) Mwinyi (Muhimbili University) , interests zake kwa JK hazihitaji mjadala
4)
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
1,195
Hamna kitu. Huyu kafanya kuliko yupi kwa wale waliomtangulia? Shyyyyyyytttttttttt

Ndio maana nimekwambia tafuta ule wasifu ambao huwa wanausoma kabla ya kum-award hapo ndipo utajua kitu alichokifanya, ila amefanya mengi tuu. Watu wote hao kumpa hizo digrii sio wajinga wamefanya upembuzi yakinifu
 
Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,501
0
Ndio maana nimekwambia tafuta ule wasifu ambao huwa wanausoma kabla ya kum-award hapo ndipo utajua kitu alichokifanya, ila amefanya mengi tuu. Watu wote hao kumpa hizo digrii sio wajinga wamefanya upembuzi yakinifu
For what I know, any person can be awarded a honorary degree provided you have attained any achievement (public interest). It has to be announced to the public. The occasion has to be formal and exclusive and not just to wait for the so called 'graduation' of UDOM, Kenyatta Univ etc.

What I dont understand is why JK? Why not Mkapa, Nyerere, Mwinyi? (I mean the rate of giving these honorary degrees).

Is there any thought of personal interest? Are they paying back?
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
1,195
Gharama za siasa ni mbaya sana. Remember JK hapendeki kwa kada za watu wenye akili zao, meaning higher and lower academic institutions, working force katika cadre na office mbali mbali, middle and low class guys. Kifupi JK anakubalika kwa majority wasiosoma na wasio na uelewa waishio VIJIJINI awapao 5000 au T-Shirt na kupata gharama za hizo 5000/= na T-Shirt kwa miaka 5. Sasa what I am seeing, ni kama anawatumia hawa Vice Chancellors and Chancellors (remember yeye ndo appointing authority to those posts, Chancellor kumu-appoint Vice Chancellor ni geresha tu, kumbuka what happened kwa Mukandara) kumpa heshima ili katika uso wa walio na akili aonekane kumbe credibility yake inapanda tena. Something which is wrong and it's a failing and late tactic. Anakumbuka shuka/blanket wakati kumeshakucha. I am pity for him.

Tusidanganyane humu JF hakuna mtu humu asiyetoka kijijini, kule ndipo tulipotoka na zaidi ya 80% ya watanzania wapo huko. Kwa yeye kukubalika huko ina maana amewafanyia mambo mazuri na ya kuwaridhisha ndio maana wamempa ridhaa ya kuwaongoza tena
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
1,195
mkuu hizo kitu hazimsaidi huyo baba wala mtanzania yeyote kwani hazifanyii kazi. Anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa tu. Tumechoka! Hivi karibuni utasikia tena kapewa nyingine! I bet you in less than 6 months! (may be)

Eti dr of public health. Unajua inauma sana!

Inauma nini sasa kama anastahili ? acheni husuda na majungu humu JF, unataka upewe wewe sasa ??????
 
Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,501
0
Tusidanganyane humu JF hakuna mtu humu asiyetoka kijijini, kule ndipo tulipotoka na zaidi ya 80% ya watanzania wapo huko. Kwa yeye kukubalika huko ina maana amewafanyia mambo mazuri na ya kuwaridhisha ndio maana wamempa ridhaa ya kuwaongoza tena
FYI, more than 85% of Tanzanians still lives in villages (about 8600 villages). The country population is about 43 M people (2009 estimates) with the overall GDP per capita of about $550. Where are we heading to? What do we expect? Do we have to follow the same line of politics? Are we really looking forward for a better future? All these questions are not answered! As for me, I will work hard and try my best as long as I live!
 
Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,501
0
Inauma nini sasa kama anastahili ? acheni husuda na majungu humu JF, unataka upewe wewe sasa ??????
Well, I am not interested! I appreciate for what I have and who I am. I am ready to offer any help within my capability(ies) at a right time. If the burden is too much, I will let it go! Let me ask you; JK having 5-10 honorary degrees, what do you benefit? Do you believe that he can still change the situation right now? How?
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,694
2,000
Ndio maana nimekwambia tafuta ule wasifu ambao huwa wanausoma kabla ya kum-award hapo ndipo utajua kitu alichokifanya, ila amefanya mengi tuu. Watu wote hao kumpa hizo digrii sio wajinga wamefanya upembuzi yakinifu
Sisomi upuuzi wa wasomi wapuuzi nasoma mambo ya maana kwa nchi hii.
Nyie wajinga endeleeni kusoma ujinga huo wa wajinga wenzenu.
Nchi iliyojaa wasomi lakini inahesabika maskini ya mwisho duniani. What a hell???????????
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
1,195
FYI, more than 85% of Tanzanian still lives in villages (about 8600 villages). The country population is about 43 M people (2009 estimates) with the overall GDP per capita of about $550. Where are we heading to? What do we expect? Do we have to follow the same line of politics? Are we really looking forward for a better future? All these questions are not answered! As for me, I will work hard and try my best as long as I live!

Tatizo lako wataka kila kitu kiwe sawa kama unavyotaka wewe kwa siku moja tu, huu ni mchakato. Na kukua kwa uchumi wa nchi ni kama jinsi mtoto anavyozaliwa. Ww wataka mtoto akizaliwa hapo hapo atembee, haitowezekana sio kwenye dunia hii
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,951
2,000
Kuna wadau wanasema eti huwa analipia ili apewe

Mnakumbuka ile ya Mzee wa Kiraracha?
 
Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,067
1,250
Doctorate - Wikipedia, the free encyclopedia wanasiliba kabisa on honorary doctorate kwamba ".............When a university wishes to formally recognize an individual's contributions to a particular field or philanthropic efforts, it may choose to grant a doctoral degree honoris causa (i.e., "for the sake of the honor"), the university waiving the usual formal requirements for bestowal of the degree.[20][21] Some universities do not award honorary degrees, for example, Cornell University,[22] the University of Virginia,[23] and Massachusetts Institute of Technology[24])".

Anza pima JK's contribution(s) in any field, wonder if you'll find something measurable and outstanding to qualify him into being being awarded a PhD.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom