Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Kama vyama vimeliona hilo ni vizuri. Ila sidhani kama mwafaka unaweza kufikiwa kirahisi namna hivyo. Ndani ya sisem kuna viongozi wasiojari na wako tayari kwa lolote-Makamba, Mkuchika just to mention a few.
My take: Kwakuwa CHADEMA wameminywa sana bungeni na mtandao wa kifisadi wakisaidiwa na SPIKA, nivizuri kutumia haki yao ya kikatiba kuwaelimisha wananchi kupitia mikutano na maadamano. Then, wananchi watahamua wenyewe nini cha kufanya. Mtambue kuwa sehemu kubwa ya umaskini wa watanzania imechangiwa na elimu ndogo ya uraia na hivyo kudanganywa wakati uchaguzi kwa vitu vidogo kama kanga, t-shirt na vjisenti vichache. Viongozi wa sasa ni matunda ya uchaguzi mbovu hivyo elimu kuhusu haki na chanzo cha matatizo tuliyonayo kwa sasa kama wa-Tanzania ni muhimu zaidi ya serikali ya umoja wa kitaifa.
Let no body stops the good move of CHADEMA in educating Tanzanians about the source of their probs and the solutions to be taken.