JK kuhutubia Taifa kesho

JK kuhutubia Taifa kesho

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
463
Reaction score
374
Wadau nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mh Rais kesho anatarajiwa kuhutubia Taifa, najiuliza atahutubia taifa au ataongea na wazee wa Dar es Salaam?
 
Hata akiongea na Madereva wa bodaboda lkn ujumbe wake ni kwa Taifa maana ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Wadau nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mh Rais kesho anatarajiwa kuhutubia Taifa, najiuliza atahutubia taifa au ataongea na wazee wa Darisalamu?
Wewe unataka afanye nini mbona unaripoti kitu ambacho unakipinga mwenyewe hakuna rais bora kama jk atafanya kile ambacho kimanufaa kwa watanzania.
 
Aombe msamaha kwa kugawa Taifa katika hotuba yake ya ufunguzi na pia atuombe msamaha kwa kudharau maoni yetu katika Tume ya warioba.
 
Wadau nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mh Rais kesho anatarajiwa kuhutubia Taifa, najiuliza atahutubia taifa au ataongea na wazee wa Darisalamu?
ulitaka watanzania wote waalikwe jangwani au? katiba ni lazima ipige vita utumiaji wa viroba na gongo maana madhala yake ni makubwa sana mfano upeo wa ndugu yetu huyu.
 
Atahutubia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.? Lakini hilo ni jina mbadala ya jina la Tanganyika maana kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya watu wa Zanzibar "Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar" sasa huyo rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo haina Zanzibar ni ipi.? mainterahamwe ni mahuni kichizi! mimi nawaona wote hawana akili tu hakuna mwenye unafuu hata mmoja mainterahamwe wahuni nyie..Alafu wewe Komba umepewa na ucaptain wa jeshi? muhuni mkubwa wewe!
 
mwendelezo wa mipasho na taarabu zilezile hana jipya huyo mwanajeshi ambaye hataki wanjeshi wenzake waongoze nchi.
 
Rais wa pwan ni balaa tu, rais dhaifu rais wa mipasho rais mswahil kama nn,
Hebu tusubiri hiyo mipasho mipya nasikia inamistar mikal ya mzee yusuph na haduja kopa haion ndani,
MIPASHO
 
Wadau nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mh Rais kesho anatarajiwa kuhutubia Taifa, najiuliza atahutubia taifa au ataongea na wazee wa Darisalamu?
Mkuu anaihutubia Tanganyika nimesikia maana zanzibar shein nae atahutubia pia.
 
Wewe unataka afanye nini mbona unaripoti kitu ambacho unakipinga mwenyewe hakuna rais bora kama jk atafanya kile ambacho kimanufaa kwa watanzania.
Manufaa kwake na fanilia yake na ma ccm,unadhani hatujui?
 
Mipasho inayoinusuru nchi tunaikubali na tuko tayari kuisikiliza.
 
Back
Top Bottom