NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,848
- 2,551
Wadau nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa Mh Rais kesho anatarajiwa kuhutubia Taifa, najiuliza atahutubia taifa au ataongea na wazee wa Dar es Salaam?
hao wazee atawapatia wapi? labda Morogoro maana dar kila mtu baby