Wewe unataka afanye nini mbona unaripoti kitu ambacho unakipinga mwenyewe hakuna rais bora kama jk atafanya kile ambacho kimanufaa kwa watanzania.
Huna jeuri hiyo ng'ombe wewe. Rais kikwete ni bora na hana mfanoInasaidia nini kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa? Ubora wa urais wa jk unaulinganisha na rais yupi? Mimi nikimlinganisha jk na watangulizi wake siuoni ubora wake! Ni kwasababu ya kinga aliyonayo kikatiba, vingine tungekuwa tulishamg'oa siku nyingi.
Aombe msamaha kwa kugawa Taifa katika hotuba yake ya ufunguzi na pia atuombe msamaha kwa kudharau maoni yetu katika Tume ya warioba.
Huna jeuri hiyo ng'ombe wewe. Rais kikwete ni bora na hana mfano
Kikwete ni jembe ulaya
Wewe unataka afanye nini mbona unaripoti kitu ambacho unakipinga mwenyewe hakuna rais bora kama jk atafanya kile ambacho kimanufaa kwa watanzania.
Kikwete ni jembe ulaya
Inasaidia nini kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa? Ubora wa urais wa jk unaulinganisha na rais yupi? Mimi nikimlinganisha jk na watangulizi wake siuoni ubora wake! Ni kwasababu ya kinga aliyonayo kikatiba, vingine tungekuwa tulishamg'oa siku nyingi.