JK kuhutubia taifa kesho usiku

JK kuhutubia taifa kesho usiku

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,505
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

=========
Update:

TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.

ASANTENI

SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
 
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned

Tegemea kusikia hili
Nilibhutubia UN watu walisimama kwa siasa za Tanzania nzuri hata Baraka Obama aliniogopa akaniita Kaka yangu na wakati yeye Rais wa Taifa kubwa Duniani .
Wachina watakuwepo mtake msitake .Kwangu mimi CCM kwanza Tanzania baadaye kwa hiyo nina weka sahihi au nimesha weka sahihi na mkibisha polisi na marungu na risasi za moto .
 
Nafikiri pia atatoa ufafanuzi wa kufungiwa kwa gazeti la mwananchi.....tunasubiri kumsikiliza.
 
Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;

1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
 
Mambo aya uenda mkuu wa kaya asigusie kabisa
kufungiwa kwa magazeti,
pili suala la katiba
mambo yatakayo chukua sehemu kubwa ya hotuba ni safari yake ya nje ya nchi.

Source ni mimi kwa uzoefu kwa mkuu wa kaya. Lets keep loading.
 
Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;

1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.

piga ua ilo la mwisho fastjet hawezi zungumzia labda kama si fastjet yule baba miraji ninaemjua.
 
Akiamua kuongelea la mchakato wa Katiba mpya atawashangaza wengi.
 
Binafsi sina muda wa kumsikiliza maana mambo ya msingi huwa anayasema kimzaa na wakati mwingine kutoyagusia kabisa! Naweza kuweka hela kwamba muda mwingi ataelezea safari zake za nje na opereshen iliyofail (kimbunga)
 
Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;

1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
Atazungumzia ufujaji wa ruzuku ya chama unaofanywa na slaa kwenda kutumbua na hawara yake nje ya nchi
 
Binafsi sina muda wa kumsikiliza maana mambo ya msingi huwa anayasema kimzaa na wakati mwingine kutoyagusia kabisa! Naweza kuweka hela kwamba muda mwingi ataelezea safari zake za nje na opereshen iliyofail (kimbunga)
Watu km ww ni mzigo kwa taifa
 
Ninachotaka ni kusikia ni kuhusu EAC na kwanini mpaka sasa hajamtimua kazi Samweli Sitta aliye waziri wake kutoka Tanzania. Pia mabalozi wetu kwenye nchi husika wanapaswa kurudi nchini kama inavyopaswa pia kutimua mabalozi wa nchi hizo walioko hapa
 
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.

Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.

Stay tuned
Mkuu ukiipata iweke hapa mapema tuisome mapema ...
 
Miaka 8 tokea tumeahidiwa maisha bora bado nasubiri tu !!!!!! Sitapoteza muda kumsikiliza huyu msanii
 
Back
Top Bottom