Marehemu aliapa kumtumikia rais JK
Walosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!Msiba wa Regia nina mashaka sasa unataka kuchukuliwa kisiasa zaidi.
Marehemu aliapa kumtumikia rais JK
hongera jk, Chadema bado wachanga lkisaisa
Msiba wa Regia nina mashaka sasa unataka kuchukuliwa kisiasa zaidi.
lipi?kunywa juice Ikulu?
hakuna mwanadamu mwenye mabaya tu! Labda Malaria Sugu wa JF! bravo JK kwa hili msiba ukiisha kibano kinaendelea mpaka kieleweke!
Walosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!
Lakini katika hili la kuhudhuria misiba nadhani jk amekuwa na consistent kwa kiasi cha kupigiwa mfano. Tumpongeze tu katika hili kwa sababu anastahili.
Hakuapa kumtumikia rais JK bali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuilinda katiba ya JMT na siyo JK na wote pamoja na JK ni watumwa wa wapiga kura. Ucha uzushi.
pm umekimbia. umekuja uwani. dk slaa kesho ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mbowe ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii, JK na ccm juu juuujuuu zaaidi kesho
Hizo nguvu anazotumia kuhudhuria misiba, angezitumia pia kwenye kukuza uchumi, tungekuwa mbali, na magamba yangeshavuliwa na kuwekwa ndaniWalosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!
Lakini katika hili la kuhudhuria misiba nadhani jk amekuwa na consistent kwa kiasi cha kupigiwa mfano. Tumpongeze tu katika hili kwa sababu anastahili.
dk slaa, yule anaekimbia jamii? dk slaaaa kwishnei
uchumi upi? Kama nyerere aliamini kuwasomesha wakiristo uchumi utakuwa. Kumbe tumekanyaga mavi tukaruka mkojo