JK kuhudhuria harusi ya Clinton?

Wa wapi huyo?ana ukaribu na clinton family? Anaheshimiwa marekani?
 
Wa wapi huyo?ana ukaribu na clinton family? Anaheshimiwa marekani?

moz-screenshot-1.png
kamaka nimependa avatar yako mkuu!
 
Malariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia aikubalikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwa hisani ya watu wa bonyokwa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Anaweza kufanya hivyo ili kutangaza utalii,si kuna ma actor kibao humo na watu mashuri?hawawezi kuongelea biashara kwani ni kinyume cha matakwa ya kwenda huko,maybe networking.....Hawawezi kukosa sababu kama ataenda,tatizo ni kwamba na yeye anapiga suti tu kama wao,angevaa hata rubega mara moja,ile ya kimasai ama ya wairaki kama ile ya Slaa,ama Kanzu?Lol.... ili kurepresent na kuvutia watalii zaidi,ni lazima uonekana tofauti kidogo ili kuleta mvuto wa maswali nk?Yani Maasai warrior ndani ya shughuli nzito ya powerfull world politicians na corporate CEO etc.
Kuna mkenya aliomba kumuoa Chelesea na kudai atatoa mahari ya ng'ombe sijui wangapi....Hilo tu liliwatangaza nchi yao pamoja na kwamba ni vituko kiaina,hata hivyo ni comic tu there's worst being said especially in US and the west in general.
Viongozi wa Africa ni cowards na wale true leaders walishakufa na wengine kuuwawa,the current oneshawapendi vyao ndio maana wanaviuza,mentality ya kitumwa si nzuri kwa viongozi if we're to move forward and have a justifiable leadership and viable state for the people.
 
slaa kamshika pabaya nadhan wako underground wanatafuta mkakati wa kumzima c unajua amewashika by suprise
 
Back
Top Bottom