Kuhusu Rais Jakaya
Kikwete, alisema mwaka huu atafanya uamuzi mzito utakaoungwa mkono kwa
asilimia 100 na kwamba uamuzi huo utaishangaza dunia.
Gazeti la mtanzania leo,
Ni uamuzi gani huo wana jf?
Atampendekeza EL kuwa mgombea ajaye wa CCM!na kweli itaushangaza dunia!
jk atafanya uamuzi mgumu wa kumpa Deo kisandu kofia ya urais.
Bila mafisadi kufungwa au kunyongwa hadharani, atakuwa hana jipya... ni usanii tu na mazingaombwe!!!
Maamuzi magumu pekee ya kuushangaza ulimwengu ni yeye kuachia madaraka na cyombo husika kumteua mtu kushika madaraka hadi hapo 2015 wakati tukisubiria mrejesho wa mchakato wa wa maandalizi ya katiba mpya.Kuhusu Rais Jakaya Kikwete, alisema mwaka huu atafanya uamuzi mzito utakaoungwa mkono kwa asilimia 100 na kwamba uamuzi huo utaishangaza dunia.
Gazeti la mtanzania leo,
Ni uamuzi gani huo wana jf?
Atampendekeza EL kuwa mgombea ajaye wa CCM!na kweli itaushangaza dunia!